MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mkuu, ngoja kwanza wapige ujana kwanza, wakizeeka wataenda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mashamba ya 30k, nenda ukalime uone kama unatoboa. Watu sio wajinga kuuza ardhi bei rahisi hivyo. Nina uzoefu wa mashamba, Handeni Tanga. Unazika hela tu mwaka hadi mwaka kumbe wenzako wanakucheka tu pembeni. Hizo Ardhi zina thamani kama unajikusanyia tu badae uje ufuge na kupata sehemu ya kulima for chakula ila kama ni kilimo cha kutoboa, SAHAU.Wewe kama una laki tano au milioni, na ukiona maisha ya mjini hayaeleweki, nenda shamba. Huko jifanye huna kitu. Watu wana mashamba huko hayapotei, unaweza kupewa hata bure ulisafishe na ulime.
Shamba mwaka wako mmoja tu, eka 10 ukilima mbaazi, mahindi, mjomba umetoka mixer na vibiashara na kanyumba aisee unaishi kiboss.
Mabonde yapo mengi sana, tafuta masela, walimishe, wavutishe, waleweshe, walishe ugali. Jifanye kama fala mwaka wako mmoja tu.