ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ingefaa kama ungetuletea kama ushuhuda wa wewe kufanya hivyo ili tuhamasike zaidi.We kama una laki tano au million ukiona maisha ya mjini hayaeleweki nenda shamba huko jifanye huna kitu watu Wana mashamba huko hayapotei unaweza kupewa hata bure ulisafishe ulime shamba mwaka wako mmoja tu heka 10 ukilima ma mbaazi, mahindi mjomba umetoka mixer vibiashara na kanyumba aisee unaishi kiboss.. Mabonde yapo mengi sana tafuta masela walimishe wavutishe waleweshe walishe ugali jifanye kama fala mwaka ako mmoja tu.
Kama rondo plateu Kule ndovu ndo nyumbani kwao walipita wanne nilivokuja kuonyeshwa nikajua kifaru kimepita kumbe Mpaka minazi wanazivunja kama vijitiTatizo kijijini dah jau sana. Ndege John ndio unaongoza kwa kukutana na wanya pori wengi bila kwenda National Park.
Mh? Kijijini tena? Aende nani?We kama una laki tano au million ukiona maisha ya mjini hayaeleweki nenda shamba huko jifanye huna kitu watu Wana mashamba huko hayapotei unaweza kupewa hata bure ulisafishe ulime shamba mwaka wako mmoja tu heka 10 ukilima ma mbaazi, mahindi mjomba umetoka mixer vibiashara na kanyumba aisee unaishi kiboss.. Mabonde yapo mengi sana tafuta masela walimishe wavutishe waleweshe walishe ugali jifanye kama fala mwaka ako mmoja tu.
Viko vijiji vizuri vina maji mengi na maji ndo kila kituMh? Kijijini tena? Aende nani?
Mjini maji hakuna?Viko vijiji vizuri vina maji mengi na maji ndo kila kitu
Ndio wapi rondo plateauKama rondo plateu Kule ndovu ndo nyumbani kwao walipita wanne nilivokuja kuonyeshwa nikajua kifaru kimepita kumbe Mpaka minazi wanazivunja kama vijiti
Lindi Kwa kina Benard membeNdio wapi rondo plateau
Vijana wa sasa wanataka wakute mazibgira mazuri tu ya kutafuta mkate. Lakini hawajui wao ndo wenye nchi na wanawajibu wa kwenda huko kijijini ama kubaki kijijinj na kupambana kisawa sawa mpaka kieleweke.Mm nashukuru wazazi wangu sama na Mungu azidi kuwabariki maana km kulima naweza tena sio mchezo nikiingia shamba km punda kazi kazi.Sasa ww unataka uende ukalime unataka ukute nani kasafisha km sio ww ndo maana wasukuma tumesambaa huko kwenye mikoa na vijijini kwenu tunapiga jembe na wala hatulalamiki tunapiga pesa tuShamba la afu 30, la bangi au?
Duh pole sana Mkuu, Maisha ni kuchagua.Vijana wa sasa wanataka wakute mazibgira mazuri tu ya kutafuta mkate lakini hawajui wao ndo wenye nchi na wanawajibu wa kwenda huko kijijini ama kubaki kijijinj na kupambana kisawa sawa mpaka kieleweke.Mm nashukuru wazazi wangu sama na Mungu azidi kuwabariki maana km kulima naweza tena sio mchezo nikiingia shamna km punda kazi kazi.Sasa ww unataka uende ukalime unataka ujute nani kasafisha km sio ww ndo maana wasukuma tumesambaa huko kwenye mikoa na vijijini kwenu tunapoga shamba na wala hatulalamiki tunapiga pesa tu
Kwa Membe RIPNdio wapi rondo plateau
Online Agriculture!!Wewe kama una laki tano au milioni, na ukiona maisha ya mjini hayaeleweki, nenda shamba. Huko jifanye huna kitu. Watu wana mashamba huko hayapotei, unaweza kupewa hata bure ulisafishe na ulime.
Shamba mwaka wako mmoja tu, eka 10 ukilima mbaazi, mahindi, mjomba umetoka mixer na vibiashara na kanyumba aisee unaishi kiboss.
Mabonde yapo mengi sana, tafuta masela, walimishe, wavutishe, waleweshe, walishe ugali. Jifanye kama fala mwaka wako mmoja tu.