Wakati mwingine mijini tunachelewa, hivi unajua vijijini unaweza ukapata shamba hata kwa 30000?

Umesema jambo la maaana sana, unakutana na mtu anateseka mjini wakati anaweza kwenda mahali na mbegu tu za pili pili na maisha yake yakawa mazuri
 
Hayo mashamba ya 30k, nenda ukalime uone kama unatoboa. Watu sio wajinga kuuza ardhi bei rahisi hivyo. Nina uzoefu wa mashamba, Handeni Tanga. Unazika hela tu mwaka hadi mwaka kumbe wenzako wanakucheka tu pembeni. Hizo Ardhi zina thamani kama unajikusanyia tu badae uje ufuge na kupata sehemu ya kulima for chakula ila kama ni kilimo cha kutoboa, SAHAU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…