Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana

Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana.
1732051479077.jpg
Yawezekana hao uwaonao leo wanapendana sana kuna mahala upendo wao ulipuuzwa mahala na waliumizwa

Kwasababu mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana, endelea kuwa mtu sahihi, mali safi kabisa kwasababu hakuondoka nayo aliondoka na yak

Utakutana na mtu sahihi mbele kwa mbele na utafurahi sana kukutana naye huyo mtu mpya Furaha, amani na kila nzuri ulilolitamani katika maisha yako litakuwa sehemu ya maisha yako na utayafurahia sana hayo maisha mapya 💕
 
Back
Top Bottom