and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Wakati mwingine kabla hatujasaini hii mikataba tupate muda wa kutosha kusoma na kuhoji kabla ya kukimbilia kusaini ili tuwahi shopping.
2. Tukumbuke baada ya kusaini ni utekelezaji, hakuna kuoneana huruma.
NB: Biashara duniani watu wanaangalia faida/interest. Mambo ya ujamaa yalishakwisha, ni Jambo la ajabu Leo hii 'wazalendo' wanajilinganisha na Djibouti? li-nchi kubwa lina watu 60+m (vyuo Vikuu yapata 50) ukajilinganishe na Djibouti kweli, hoja hapa ni nini?