Sis musee ukituambia haisaidii., maana hata huwa hatujuwi wakati mnasaini huwa mnakula nini. Wew waambie hao wenzako mkienda kusaini wafikirieni watoto wa wajukuu wenu na si ninyi na watoto wenu tu.1. Wakati mwingine kabla hatujasaini hii mikataba tupate muda wa kutosha kusoma na kuhoji kabla ya kukimbilia kusaini ili tuwahi shopping.
2. Tukumbuke baada ya kusaini ni utekelezaji, hakuna kuoneana huruma.
NB: Biashara duniani watu wanaangalia faida/interest. Mambo ya ujamaa yalishakwisha, Ni Jambo la ajabu Leo hii 'wazalendo' wanajilinganisha na Djibouti? Linchi kubwa lina watu 60+m ukajilinganishe na Djibouti kweli, hoja hapa ni nini?
Haaaa. Nadhani ulitaka kuandika wakati wote tusome mikataba ndiyo tusaini.!!! Wewe unataka wakati mwingine isisomwe wasaini tu?1. Wakati mwingine kabla hatujasaini hii mikataba tupate muda wa kutosha kusoma na kuhoji kabla ya kukimbilia kusaini ili tuwahi shopping.
2. Tukumbuke baada ya kusaini ni utekelezaji, hakuna kuoneana huruma.
NB: Biashara duniani watu wanaangalia faida/interest. Mambo ya ujamaa yalishakwisha, ni Jambo la ajabu Leo hii 'wazalendo' wanajilinganisha na Djibouti? li-nchi kubwa lina watu 60+m (vyuo Vikuu yapata 50) ukajilinganishe na Djibouti kweli, hoja hapa ni nini?