Hivi mpwa, ulimpa nini huyo kijana? Mbona anashindwa kukusahau? πumeanza,,, vipi lakin unaendleaj dear exπ
Mjomba shikamooπTulia π
hongera sanaπNiko poa kabisa I am so happy today π hata nishasahau maumivu ya kuachwa
zimefika mjomba, shaka ondoa ππ€Zimefika βΊοΈβΊοΈ.
Fikisha na zangu, kuleee.
yani najuta kwanini nilimpa mjomba, maana kaniganda mno sipumuiπHivi mpwa, ulimpa nini huyo kijana? Mbona anashindwa kukusahau? π
yani najuta kwanini nilimpa mjomba, maana kaniganda mno sipumui[emoji52]
TAPELI
Hivi mpwa, ulimpa nini huyo kijana? Mbona anashindwa kukusahau? [emoji28]
Vijana mwala Fissi mkidhani wahaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12]
Biashara ya kale
...
Masuala ya kunyweshana CHAI jioni jioni nayo, daah! Hadi yanaboa kabisa.
Sasa we lucy mbona umejiita jose wakati ni jina la kiume?
Kama walipata utamu shida nini?