Wakati najiuza niliwafanyisha watu mapenzi na fisi bila ya wao kujua

WAKATI NAJIUZA NILIWAFANYISHA WATU MAPENZI NA FISI BILA YA WAO KUJUA 05

Nikiwa nashangaaaa, nilimshuhudia dada aliyekuwa akijuza mle ndan akitoka nje na kuanguka chini akiwa kachomwa kisu tumboni na masai.

Kwa hofu baadhi ya watu walikimbia.

“ ..rafik…iko danganya mim wewe…. Danganya mimi wewe….” Masai almwamba yule dada. Alimchomoa kisu na kumchoma nacho tena. Pale pale nilishuhudia yule dada akikata roho. Damu ilitapakaa sehemu yote.

Masai alikimbia na watu wengine pia walikimbia kuogopa kutoa ushahidi.

“ Mmmh! sipaswi kukaa hapa.” Nami nilondoka.

…………………..

Baadae nilirudi! Katka story story, nilisikia masai alimshtukia yule dada! Walisema alkuwa anawafanyisha watu mapenzi na fis bila ya wao kujua. Walisema sisi tuliwaona wadada watatu lakini ukwel alikuwa mmoja, wawili wengne hawakuwa watu bali walikuwa fisi.

Pia walisema masai aligundua baada ya kupata ugonjwa wa ajabu.

Alipoenda kutibiwa aligundulika ameambukizwa na fisi, na mganga wake ndiye aliyemwambia kuwa kafanya mapenz na fisi ndio mana kaupata ule ugonjwa. Masai alipofatilia ndo akamshtukia yule dada! Kwa hasira ndio akaja kumuumbua na kumchoma kisu cha tumbo.

“ Kuwafanyisha watu mapenzi na fisi? Hilo haliwezekani.” Nilijambia moyoni.

Sikuziamini hizi story zao.

Lakini licha ya kutoziamini, kwa kias Fulani moyo wangu ulihisi ukweli , maana hadi wakati ule alyekufa ni dada mmoja, wenzake wawil walipotea tu, hakuna alyewaona. Ni kama waliyeyuka hivi.

“ Inawezekana kwel wale wengine walikuwa mafisi ndio maana hawaonekani.” Nilijiambia moyoni.

“ Lakin kama ni kwel walkuwa fisi inamaana fisi ni watamu sana kushinda sisi binadamu?” Nilimuuliza kahaba mwenzangu.

‘ Mmmmh! mwenzangu hilo hata silijui! Ninachofurahia hapa hawa washenzi wameondoka..maana walifanya maisha yangu yakawa magumu sana..” Aliniambia na kuelekea chumban kwake.

Nami niliekea kwangu!

Nikiwa sijaufikia mlango wangu, kwa nyuma yangu altokea mbaba wa makamo ambaye sikuwa namfahamu kabisa.

“ Usifungue huo mlango.” ALiniambia.

“ kwanini?” Nilmuuliza.

Hakunjibu!

Nlisonya na kufungua kufuri la chumba changu, lakini yule mbaba haraka sana alinishika mkono na kunivutia kwa nyuma kias cha kunifanya niyumbe.

Alinkera sana aiseee.

“ We baba umetumwa au?” Nlimuuliza kwa ukal na shombo zote.

Lakn wakati nikwa nambwatukia, sura yake ilinijia.

Nilimkumbuka.

Wale mabint wa bukoba siku waliyohamia pale walikuja nae! Nikiwa nimeduwaa namshangaaa, aliondoka. Akiwa mita kadhaa kutoka pale, alinipa ishara nimfate. Nami pasipokuvunga wala kujiulza mara mbli nilimfata.

Aliinga kwenye gari akanifungulia mlango nami nikaingia. Aina ya gari alilokuja nalo na muonekano wake ulionesha hakuwa mtu masikini! Alionekaan ni tajiri mkubwa .

Aliendesha kwa umbali mrefu kdogo kisha akalisimamsha. Tulishuka na kuingia kwenye kigrosary.

“ Samahani kwa yote yalyotokea.” ALniambia.

Sikumjibu.

‘ Kwa majina naitwa Ndesaa nolo ! Yule bint aliyeuwawa na masai ni mwanangu wa kumzaaa.” Aliniambia.

“ Mwanao? Sasa ilikuwaje ukamruhusu mwanao afanye ile kazi? Uliruhusu vp mwanao awe kahaba na wewe unauwezo mkubwa hivi?” Nilmuulza.

“ Maisha yana mambo mengi sana usiyoyajua! Na kwa umri wako ulivyo huwezi kujua kitu hata nikikueleza. “

“ Niambe kwanini umenizuia nisiingie ndani kwangu?”

“ Watoto wangu wawili wamejificha kwako! Si unajua mwanangu pale alikuwa na wenzake, hivyo wenzake wawl wamejifcha kwako. Kuna maswala nasubiri yakae sawa ili niweze kuwatoa pale.” ALiniambia.

Akiongea hayo, akili yangu ilikuwa kwenye kaul za majran pale. Nilikumbuka walivyokuwa wanasema kuwa wale mabinti wahaya hawakuwa watu wote, mtu alikuwa mmoja na wengine walkuwa fisi.

“ Kama mtu alikuwa mmoja inamaana alyeuwawa ndiye mtu! inamaana waliokuwa chumbani kwangu ni fisi?” Nlijiulza moyoni. Nlivuta pumz kwa nguvu ksha nikamtazama usoni yule mzeee.

“ Unauhakika waliokuwa chumban kwangu ni watu au fisi? Maana tunajua mtu alikuwa mmoja na wengne walikuwa fisi.” Nilimwambia. Maneno yangu yalimfanya anitazame kwa hali tofaut kdogo. Aliniangalia pasipokuomgea neno lolote lile.

Alinyoshea kdole huku akiongea maneno nisiyokuwa nayajua. Dakka tau mbele alisimama, nami pasipokujielewa nikajikuta nimesimama na kumfata kwa nyuma. Tulizunguka nyuma ya ile grosary tukatokea kwenye lodge ya BM.

Yule mzee alichukua chumba tukaingia ! Muda wote nilikuwa namfata nikiwa sielewi kitu, nazani yale maneno aliyoyatamka yalinichezea akili.

“ Kwakuwa umejua habari za wale fisi! Na kwakuwa wapo chumbani kwako, inabidi uwe kama wale. Utawafanyisha watu mapenzi na fisi japo wao watakuona wewe.. . ila ili iwezekane itakubidi ufanye mapenz na mzimu wangu.” Aliniambia akiwa anavua nguo zake.

Ajabu, uume wake haukuwa kawaida, kwa mbele ulikuwa na kichwa cha nyoka, muda wote nyoka alitoa ulimi, ajabu zaidi sikuogopa hata kidogo. Nami nilivua nguo nikawa kama nilivyozaliwa.

Nakuja
 
Mmh inatisha
 
Acha ujinga wkt mwingine ficha aibu,ujinga wako siyo kila mtu akuone mjinga sawa
Khe🫣!!! Kwahyo hauamini uchawi upo au? Hauamini miujiza ipo? au Hauamini shetani yupo au?Hauamini Mungu yupo?

Hauamini kuna mtu alinyosha fimbo bahari ikatawanyika watu wakapita?
Hauamini kuna mtu alikufa akafufuka na sasa yuko hewani anasikiliza maombi ya kila mtu?

Cheki this:

50, 000-millions of animals boarded Noah’s ark on the same day​

All of the animals boarded the ark “in the selfsame day.” Genesis: 7:13-14

Noah, a 500 year old man told millions of animals onto the ark, or according to Christian apologists only 20, 000-50, 000

“However, this response requires creationists to believe that just 16,000 animals developed into billions of species in less than 4000 years” – RationalWiki
 
Nakuonya kwa Mara ya mwisho sitaki shobo na wewe endelee na ujinga wako shenzi typu
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Wanyama woteee hawa duniani humu ,wewe ukaona fisi ndio anafaa sio?
 
Back
Top Bottom