Wakati ni kitu gani? what is time?

Kaka c tumeambiwaa tufikilie sisi tusitumie vitabu use ur brain kuexplain wakati ni nn
 

siku moja jua lisimame angani na uwe mwangaza wa mchana tu milele hapo ndio tutaweza kufahamu kuwa wakati hauende mbele,wala haupiti sisi binadamu ndio tunaupita wakati,wakati haupiti ni uliopo tu yaani present

Sio jua lisimame ni dunia isijizungushe mhimilini mwake na kuzunguka jua
 

mkuu mimi nimeweka jua lisimame kwa sabab mimi siamini kuwa dunia ndio inazunguka jua,mi naamini jua,mwezi,nyota na sayari zote ndio zinazunguka dunia,wala siamini kabisa kuwa dunia ni kama chungwa,mi naamini dunia haina mwisho wala sio duara.wala mi siamini kama kuna muhimili wa dunia na pia siamini kuwa jua na mwezi vipo mbali ni vitu naviona vipo ndani ya wingu la buluu na sio nje.

nlikuwa najaribu kuufikiria wakati ni kitu gani kwa mitazamo tafauti na sio wakati huo wa space and time tunaofundishwa,nlitaka kujua wakati kwa maana ya existance yote na wakati wake,na nikisema exisitance namaanisha kuwa mtoto mchnga akizaliwa anaingia kwenye hii existance na mtu akifa anaondoka
 

Mkuu napinga kwa hoja hizi

Kipindi meli inakuja(visibility of ship) inakuja kama kitu kinapanda majini mchomoko
Kuonyesha inafuata mzunguko wa dunia

Pia ukiangalia anga letu lionyesha kama kifuniko Fulani kama nusu kimetufunika kuashiria tabaka la chini ni duara

Je umeona ndege kipindi inapotelea inaonekana kama inatua kumbe unafuata mzunguko wa dunia kama ingekua flati ungeona inaenda mnyooko tu??

Kama dunia inazungukwa na jua usiku jua liko wapi?
Au linazimika
Hapana linakuwa upande wa pili wa dunia duara kivuli hutupwa upande wa pili hivyo dunia ni duara
Na huzunguka jua

Pia picha za earth from space zinaonyesha umbile la dunia
Bila kusahau Google earth hizo ni miongoni
Asante mkuu wangu
 
Kulikua na mtu anaitwa Kiranga pia... @monstagla Eiyer sijui kama bado humu

mkuu tufafanulie hii theory kwa lugha rahisi asee,kama utaweza utakua umesaidia sana kupanua ubongo wa wengi na mimi nikiwemo ,nimeshajaribu kujifunza hii kitu ila haya mambo ni magumu kueleweka bila mifano rahisi

"infinite mass and zero space, that is a singularity" singularity ndio nini ?..kulingana na einstern mwenyewe,yeye ndo alileta taharuki duniani kwa kusema mwanga una uzito,kwa maana ya electrons zina mass
9.10938356 × 10-31 kilograms sasa inakuaje hapo ?

Hio singularity na speed of light muda unaenda kinyume sijaelewa kabisa,Eiyer

Mkuu Kiranga popoe ulipo tunakuomba ukuje kututoa tongotongo pindi upatapo nafasi,nakumbuka nishawahi kukuletea ombi binafsi zamani kidogo
 

mkuu hivi vitu uloongea hapa ni mafundisho tu lakini uhalisi haupo hivo

kuna nyuzi hapa nilichangia mambo mengi sana kuhusu dunia na hali halisi ilivyo hebu zipitie hizi nyuzi mbili utaona michango yangu mingi kuhusiana na hili jambo jaribu kusoma kila kitu

Kitambue chombo VOYAGER 1

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…