Kama kwako anavyoongoza SASHA si comedy basi hata huu uzi wako ni comedy.
-Katiba ni comedy
-Kauli(majibu) ya viongozi ni comedy
-Chama tawala ni comedy
-Polisi ni comedy
-TISS ni comedy
-Raia wa kawaida ni comedy
-Chawa ni comedy
-Opposition parties ni comedy
-
-
Yaani nchi na maisha ya Watanzania kwa ujumla wake vimekuwa ni novela ya comedy.