mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,755
- 7,270
Habari Wakuu,
Kwa wenye kumbukumbu Je imewahi kutokea Ofisi ya Waziri Mkuu kuomba kiasi kinacho karibiana na hiko kwa ajili ya Matumizi ya kawaida?
Katika kipindi ambacho Mh Rais amesisitiza tufunge mkanda kwa kuwa wahisani wamepunguza misaada, inakuaje matumizi ya kawaida ya Trilioni 8.7 na kwa ajili ya maendeleo iwe 3.7?
Kwa wenye uelewa zaidi karibu kwa michango