Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli binadamu tumetofautiana sana.

Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka madarakani.

Hali ni tofauti kabisa kule Marekani ambako Rais Trump ameshanyonga watu 13 na wa mwisho kanyongwa juzi ikiwa ni siku tatu tu kabla ya Trump kuachia madaraka kwa Rais mteule wa Marekani mh Biden.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi kuidhinisha kunyonga ni mpaka tu utie saini kwa mbwembwe kwa hao wafungwa walio hukumiwa kunyongwa?

Vipi kuhusu yale matamko ya kuviruhusu vyombo vya dola kujichukulia sheria mkononi kutoka kwa swahiba wako john, tena dhidi ya watuhumiwa tu!!

Wanakuambia "Turirikamata rituhumiwa! wakati rinaenda kutuonesha ziripo siraha/watuhumiwa wenzake, ghafra risasi zimkamrukia na kumjeruhi! Na wakati tunariwahisha hospitari, rikafia njiani"!!!
 
Hawa wauwaji huku mitaani naona wawe wanahukumiwa huku mitaani, maana wanauwa asiye na hatia wao Wana hatia hawauwawi badala Yake tunaanza kuwalisha huko magerezani maisha yao yote.
 
Uongo, ujuha na upotoshaji mtupu , unafikiri kwa sababu kwako ni hadi Rais asaini ili mfungwa anyongwe mambo ndio yanafinyika hivyo duniani kote.Trump wala hasaini chochote ili mtu anyongwe.
 
Uongo, ujuha na upotoshaji mtupu , unafikiri kwa sababu kwako ni hadi Rais asaini ili mfungwa anyongwe mambo ndio yanafinyika hivyo duniani kote.Trump wala hasaini chochote ili mtu anyongwe.
Sasa unabishana na msemaji wa serikali ya Marekani?!

Bavicha bure kabisa!
 
Serikali ya Marekani haina msemaji zaidi ya Trump, sasa nitabishanaje na mtu ambaye hajawahi kuwepo,yuko kwenye fikra zako tu!
Sasa unabishana na msemaji wa serikali ya Marekani?!

Bavicha bure kabisa!
 
Magufuli kwa kutia sahihi kwenye miswada ya sheria za bodi ys mikopo ya elimu ya juu na mifuko ya hifadhi za jamii atambuwe kuwa ameuwa watu wengi mno na ataendelea kuua hata akiwa nje ya madaraka kama sheria hizo hazitobadilika.
 
Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa.
Trump hajawahi ua mtu... Je huyu kawai ua mtu?
1. Maiti za Coco beach kwenye sandarusi
2. Ben
3. Waliopotea hawjulikani walipo
4. Mawazo
5. etc etc and many others
 
Magufuli kwa kutia sahihi kwenye miswada ya sheria za bodi ys mikopo ya elimu ya juu na mifuko ya hifadhi za jamii atambuwe kuwa ameuwa watu wengi muno na ataendelea kuuwa hata akiwa nje ya madaraka kama sheria hizo hazitobadilika.
Vyeti fake vimeua watu wengi sana hivyo hyu ni muuaji kuliko wote waliwahi kutokea duniani johnthebaptist
 
Acha upotoshaji! Adhabu za vifo Marekani haziidhinishi na Rais bali huidhinishwa na Magavana wa majimbo. Pia kumbuka Marekani siyo majimbo yote yana adhabu ya kifo!
We ndio hujui, kuna wafungwa wamehukumiwa na federal government na waliohukumiwa na state governments, hao wanaoidhinishwa kunyongwa na magavana walihukumiwa na state governments.
 
In direct imeumiza family nyingi sana. Hivi mpaka mtu anamiminiwa 38 na 16 mwilini !!. Hawa watu walikuwa na baraka za nani ?!

Odhis *
Kwa Wanaiasa ni different issue, sisi tunazungumzia Wananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom