Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

Wakati Rais Magufuli amegoma kusaini hukumu za waliohukumiwa kifo Rais Trump ameendelea kunyonga hadi wiki yake ya mwisho!

Hata wafungwa wa federal government Rais hafanyi hiyo kazi ya kusaini wanyongwe, anayeidhinisha ni mwanasheria mkuu. Rais anaweza kutoa msamaha kutonyongwa kama akijisikia.
We ndio hujui,kuna wafungwa wamehukumiwa na federal government na waliohukumiwa na state governments.hao wanaoidhinishwa kunyongwa na magavana walihukumiwa na state governments.
 
Ishu sio kufungwa na federal govt,lakini kuna aina ya mauaji ambayo federal govt ndio huwa inaidhinisha kisho.
Ngoja nikuelimishe..iko hivi,kama wewe ni mkazi let's say wa Jimbo la Texas,ukaenda kufanya uhalifu jimbo la California,hiyo case utashtakiwa katika federal court. But ukifanya uhalifu kwenye state yako unayoishi bas hiyo case utashtakiwa katika mahakama za state husika.ni hivyo tu mkuu.
 
Hata wafungwa wa federal government Rais hafanyi hiyo kazi ya kusaini wanyongwe, anayeidhinisha ni mwanasheria mkuu. Rais anaweza kutoa msamaha kutonyongwa kama akijisikia.
Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Pia Ukifanya kosa kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya federal government kama kambi za jeshi, national park ni federal cases
Ngoja nikuelimishe..iko hivi,kama wewe ni mkazi let's say wa Jimbo la Texas,ukaenda kufanya uhalifu jimbo la California,hiyo case utashtakiwa katika federal court. But ukifanya uhalifu kwenye state yako unayoishi bas hiyo case utashtakiwa katika mahakama za state husika.ni hivyo tu mkuu.
 
Athabu ya kifo ni adhabu ya kipumbavu kuliko zote.

Funga mtu kifungo cha maisha afie huko
Ila wewe jambazi akuuwe na familia yako ibaki kwenye mateso wakati yeye jambazi akiendesha familia yake kwa remote!
 
Katika mifuasi ya Ccm hili jamaa ni pumbavu namba moja. Sasa kuna uhusiamo gani wa death penalty huko Usa na hapa Tanzania
Kabisa mkuu. Sheria ya kunyonga ya Marekani ni sheria ya majimbo (states) na kuna majimbo mengine hayana adhabu ya kifo. Rais wa Marekani hahusiki na adhabu ya kunyonga. Hiki kijamaa kilicholeta hii thread ni kipumbavu kisichoelewa chochote bali kimekurupuka tu kujiandikia baada ya kuona kwenye taarifa za habari za CNN, Aljazeera na media kubwa za kimataifa.
 
Kiukweli binadamu tumetofautiana sana.

Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka madarakani.

Hali ni tofauti kabisa kule Marekani ambako Rais Trump ameshanyonga watu 13 na wa mwisho kanyongwa juzi ikiwa ni siku tatu tu kabla ya Trump kuachia madaraka kwa Rais mteule wa Marekani mh Biden.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Wangekuwa wamehukumiwa kunyongwa kina Lissu huko, angesaini siku hiyo hiyo.

Hao wafungwa hawana maslahi naye tu ya kisiasa na madaraka.
 
Kabisa mkuu. Sheria ya kunyonga ya Marekani ni sheria ya majimbo (states) na kuna majimbo mengine hayana adhabu ya kifo. Rais wa Marekani hahusiki na adhabu ya kunyonga. Hiki kijamaa kilicholeta hii thread ni kipumbavu kisichoelewa chochote bali kimekurupuka tu kujiandikia baada ya kuona kwenye taarifa za habari za CNN, Aljazeera na media kubwa za kimataifa.
Kamanda Mbwakachoka by Muroto!
 
Hivi kuidhinisha kunyonga ni mpaka tu utie saini kwa mbwembwe kwa hao wafungwa walio hukumiwa kunyongwa?

Vipi kuhusu yale matamko ya kuviruhusu vyombo vya dola kujichukulia sheria mkononi kutoka kwa swahiba wako john, tena dhidi ya watuhumiwa tu!!

Wanakuambia "Turirikamata rituhumiwa! wakati rinaenda kutuonesha ziripo siraha/watuhumiwa wenzake, ghafra risasi zimkamrukia na kumjeruhi! Na wakati tunariwahisha hospitari, rikafia njiani"!!!
Kuidhinisha mtu kuuwawa siyo lazima kutia saini tu, hata maelekezo ya ishara au kwa lugha ya mafumbo yote ni uuaji tu.
 
Serikali ya Marekani haina msemaji zaidi ya Trump, sasa nitabishanaje na mtu ambaye hajawahi kuwepo,yuko kwenye fikra zako tu!
Achana na hili bumunda limeamka na kilevi cha mitaputapu
 
Back
Top Bottom