johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa bwashee!Athabu ya kifo ni adhabu ya kipumbavu kuliko zote.
Funga mtu kifungo cha maisha afie huko
Sasa unabishana na msemaji wa serikali ya Marekani?!Uongo, ujuha na upotoshaji mtupu , unafikiri kwa sababu kwako ni hadi Rais asaini ili mfungwa anyongwe mambo ndio yanafinyika hivyo duniani kote.Trump wala hasaini chochote ili mtu anyongwe.
Sasa unabishana na msemaji wa serikali ya Marekani?!
Bavicha bure kabisa!
Kuna watu wana network hadi gerezani, yaani ukimwacha hai wengine wanaendelea kufa.Athabu ya kifo ni adhabu ya kipumbavu kuliko zote.
Funga mtu kifungo cha maisha afie huko
Sasa hiyo si indirect Mkuu, mbaya ni hii ya direct.....yaani unasaini Mtu anauliwa.Hivi kuidhinisha kunyonga ni mpaka tu utie saini kwa mbwembwe kwa hao wafungwa walio hukumiwa kunyongwa?...
Trump hajawahi ua mtu... Je huyu kawai ua mtu?Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa.
Vyeti fake vimeua watu wengi sana hivyo hyu ni muuaji kuliko wote waliwahi kutokea duniani johnthebaptistMagufuli kwa kutia sahihi kwenye miswada ya sheria za bodi ys mikopo ya elimu ya juu na mifuko ya hifadhi za jamii atambuwe kuwa ameuwa watu wengi muno na ataendelea kuuwa hata akiwa nje ya madaraka kama sheria hizo hazitobadilika.
In direct imeumiza family nyingi sana. Hivi mpaka mtu anamiminiwa 38 na 16 mwilini !!. Hawa watu walikuwa na baraka za nani ?!Sasa hiyo si indirect Mkuu, mbaya ni hii ya direct.....yaani unasaini Mtu anauliwa.
We ndio hujui, kuna wafungwa wamehukumiwa na federal government na waliohukumiwa na state governments, hao wanaoidhinishwa kunyongwa na magavana walihukumiwa na state governments.Acha upotoshaji! Adhabu za vifo Marekani haziidhinishi na Rais bali huidhinishwa na Magavana wa majimbo. Pia kumbuka Marekani siyo majimbo yote yana adhabu ya kifo!
Kwa Wanaiasa ni different issue, sisi tunazungumzia Wananchi wa kawaida.In direct imeumiza family nyingi sana. Hivi mpaka mtu anamiminiwa 38 na 16 mwilini !!. Hawa watu walikuwa na baraka za nani ?!
Odhis *
So politicians are not human beings ?!Kwa Wanaiasa ni different issue, sisi tunazungumzia Wananchi wa kawaida.