We ndio hujui,kuna wafungwa wamehukumiwa na federal government na waliohukumiwa na state governments.hao wanaoidhinishwa kunyongwa na magavana walihukumiwa na state governments.
Ngoja nikuelimishe..iko hivi,kama wewe ni mkazi let's say wa Jimbo la Texas,ukaenda kufanya uhalifu jimbo la California,hiyo case utashtakiwa katika federal court. But ukifanya uhalifu kwenye state yako unayoishi bas hiyo case utashtakiwa katika mahakama za state husika.ni hivyo tu mkuu.Ishu sio kufungwa na federal govt,lakini kuna aina ya mauaji ambayo federal govt ndio huwa inaidhinisha kisho.
Nakubaliana na wewe mkuu.Hata wafungwa wa federal government Rais hafanyi hiyo kazi ya kusaini wanyongwe, anayeidhinisha ni mwanasheria mkuu. Rais anaweza kutoa msamaha kutonyongwa kama akijisikia.
Anaependa kuua taratibu huku anacheka. Mfano kutoongeza mishahara Kwa miaka mitanoVyeti fake vimeua watu wengi sana hivyo hyu ni muuaji kuliko wote waliwahi kutokea duniani johnthebaptist
Ngoja nikuelimishe..iko hivi,kama wewe ni mkazi let's say wa Jimbo la Texas,ukaenda kufanya uhalifu jimbo la California,hiyo case utashtakiwa katika federal court. But ukifanya uhalifu kwenye state yako unayoishi bas hiyo case utashtakiwa katika mahakama za state husika.ni hivyo tu mkuu.
Ila wewe jambazi akuuwe na familia yako ibaki kwenye mateso wakati yeye jambazi akiendesha familia yake kwa remote!Athabu ya kifo ni adhabu ya kipumbavu kuliko zote.
Funga mtu kifungo cha maisha afie huko
Akishakufa familia yako ndio itapata unafuu wa maisha?Ila wewe jambazi akuuwe na familia yako ibaki kwenye mateso wakati yeye jambazi akiendesha familia yake kwa remote!
Hayo matatizo ya mfumo.... Ukimyonga mtu unakuwa umempunguzia adhabu...Kuna watu wana network hadi gerezani, yaani ukimwacha hai wengine wanaendelea kufa.
OkeyHayo matatizo ya mfumo.... Ukimyonga mtu unakuwa umempunguzia adhabu...
Kamanda Mbwakachoka by Muroto!Wewe mbumbumbu kwani sheria ya kanuni za adhabu inasemaje kuhusu mtu akiua? Huyo unaejipendekeza kwake hakuapa kulinda na kuitetea katiba? Kwani Trump anatia sign kinyume na sheria?
Nimethibitisha kuwa wewe ni taahira! Hoja zako ni za kimpumbavu hakuna mfano wake!Akishakufa familia yako ndio itapata unafuu wa maisha?
Kabisa mkuu. Sheria ya kunyonga ya Marekani ni sheria ya majimbo (states) na kuna majimbo mengine hayana adhabu ya kifo. Rais wa Marekani hahusiki na adhabu ya kunyonga. Hiki kijamaa kilicholeta hii thread ni kipumbavu kisichoelewa chochote bali kimekurupuka tu kujiandikia baada ya kuona kwenye taarifa za habari za CNN, Aljazeera na media kubwa za kimataifa.Katika mifuasi ya Ccm hili jamaa ni pumbavu namba moja. Sasa kuna uhusiamo gani wa death penalty huko Usa na hapa Tanzania
Wangekuwa wamehukumiwa kunyongwa kina Lissu huko, angesaini siku hiyo hiyo.Kiukweli binadamu tumetofautiana sana.
Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka madarakani.
Hali ni tofauti kabisa kule Marekani ambako Rais Trump ameshanyonga watu 13 na wa mwisho kanyongwa juzi ikiwa ni siku tatu tu kabla ya Trump kuachia madaraka kwa Rais mteule wa Marekani mh Biden.
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Kamanda Mbwakachoka by Muroto!Kabisa mkuu. Sheria ya kunyonga ya Marekani ni sheria ya majimbo (states) na kuna majimbo mengine hayana adhabu ya kifo. Rais wa Marekani hahusiki na adhabu ya kunyonga. Hiki kijamaa kilicholeta hii thread ni kipumbavu kisichoelewa chochote bali kimekurupuka tu kujiandikia baada ya kuona kwenye taarifa za habari za CNN, Aljazeera na media kubwa za kimataifa.
Wewe jamaa ni bonge la boya. Sheria ya kunyonga ya Marekani haihitaji rais kuidhinisha. Acha kuokota habari usizozijua kwa undani na kuzileta humu.Kamanda Mbwakachoka by Muroto!
Kuidhinisha mtu kuuwawa siyo lazima kutia saini tu, hata maelekezo ya ishara au kwa lugha ya mafumbo yote ni uuaji tu.Hivi kuidhinisha kunyonga ni mpaka tu utie saini kwa mbwembwe kwa hao wafungwa walio hukumiwa kunyongwa?
Vipi kuhusu yale matamko ya kuviruhusu vyombo vya dola kujichukulia sheria mkononi kutoka kwa swahiba wako john, tena dhidi ya watuhumiwa tu!!
Wanakuambia "Turirikamata rituhumiwa! wakati rinaenda kutuonesha ziripo siraha/watuhumiwa wenzake, ghafra risasi zimkamrukia na kumjeruhi! Na wakati tunariwahisha hospitari, rikafia njiani"!!!
Asante....Nimethibitisha kuwa wewe ni taahira! Hoja zako ni za kimpumbavu hakuna mfano wake!
Achana na hili bumunda limeamka na kilevi cha mitaputapuSerikali ya Marekani haina msemaji zaidi ya Trump, sasa nitabishanaje na mtu ambaye hajawahi kuwepo,yuko kwenye fikra zako tu!