Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wadau nchi hii ina sanaa nyingi sana. Kimsingi hamna uongozi wa kujenga taasisi imara badala yake mna kikundi cha watu wanaowekeza kwenye siasa ya kubaki madarakani.
Imebainika kwamba wakati Samia akitafuta kura kupitia Simba na goli la mama, kumbe kocha wa Taifa Stars hana mshahara wala mkataba. Ikumbukwe kwamba huyu ni kocha aliyoipeleka timu AFCON. Tatizo tu ni kwamba ukimpambania kama Simba hupati umaarufu.
Naelewa kwamba wajibu wa kumlipa kocha ni wa TFF lakini serikali ina sehemu yake katika kuipa nguvu timu ya taifa. Ni kama inavyofanyika Simba na Yanga, jukumu la kusafirisha na kulipa posho za wachezaji sio la Samia ni jukumu la Simba SC.
Lakini kumlipa Morocco ni muhimu zaidi kwa maslahi ya taifa, kwa sababu Simba na Yanga zina prizes katika ushiriki wao kimataifa.
Ikumbukwe pia kuwa kocha wa kigeni aliyepita alikuwa akilipwa na serikali.