BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
Ni jambo la kisikitisha sana RC wa Dar es Salaam kutoona umuhimu wa elimu kwa watoto katika kipindi hiki cha mlipuko wa Corona na kudakia mambo ya wabunge yasiyomhusu.
RC Mtaka anapambana watoto wasome online kipindi hiki, huku RC DSM anapoteza muda mwingi katika media kwa mambo yasiyo ya msingi kwa mwananchi.
Miradi ya maendeleo hakuna kinachofanyika maana mpaka leo watoto wanakaa chini mfano Msakuzi shule ya msingi. Barabara ya Jangwani kila kukicha malori magreda yanasomba mchanga ulioziba njia gharama kubwa sana inatumika na hajapata suluhu ya kudumu kupunguza gharama.
Rais Tunakuomba utuondolee huyu RC hana afanyalo Dar es Salaam.