Wakati Ronaldo akipata tuzo ya mchezaji bora, Sanamu la Messi lavunjwa Argentina

Wewe huyo. Hata Hii comment yako inaonesha viashiria vya chuki.

Naona utakuwa kijana milele[emoji12] [emoji12] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kuwa kijana milele ila siwez kuolewa
 
Ushajiuliza CR7 angeanzia hapo la liga angekuwa nazo hizo ngapi?
Acha kutoa mifanoya kipuuuzi mkuu
Huu ndio mfano wa kipuuzi kuwahi kutokea kwani hyo miaka takribani 8 aliyochezea La Liga Kaambulia mataji mangapi ya La Liga?
 
Halafu watu wanatokwa povu tu, lazima mkubali kuwa Ronaldo amekuwa bora kuliko Messi, next time Messi akiwa bora hatuna budi kumsifia.
 
Halafu watu wanatokwa povu tu, lazima mkubali kuwa Ronaldo amekuwa bora kuliko Messi, next time Messi akiwa bora hatuna budi kumsifia.
Mmoroko hahawai kuwa Bora kuliko Messi
 
Bora umemaliza kila kitu
View attachment 459225
Cristiano Ronaldo kacheza ligi ngapi? Na lini kajiunganga na La liga?
Au naye aanze kuhesabu tangu alikotoka na mataji aliyobeba? Cristiano Ronaldo ni jasiri,he showed that he can take risks kwa kuhama toka club ndogo ya Porto kwenda club kubwa yenye wachezaji mahiri na mashuhuri na kushaini na baadae tena kuhamia club kubwa,mashuhuri na tajiri zaidi yenye records za kipekee za wachezaji mahiri pia nako ame-standout na kuonyesha ubora zaidi kwa kupata mataji zaidi.
Messi ni mchezaji mahiri kama walivyo makocha Arsene Wenger au Pep Guadiola kwenye team zao. Pep Guadiola alifanikiwa sana alipokuwa Barcelona kiasi kwamba kila mtu na kila team iliamini huyo ndio kocha bora kabisa duniani bila kuzingatia kwamba yuko pale kwa muda gani. Nina hakika hawa watu wakipata changamoto mpya ndio kitakuwa kipimo kizuri cha kuujua umahiri wao haswa.
Mfano Pep si muda mrefu tutajua ,hata Messi akitoka Barcelona na kwenda club nyingine tutajua maana mara nyingi mfumo wa vilabu uwabeba makocha na wachezaji hasa waliokaa pamoja kwa muda mrefu na Cristaino Ronaldo amevuka kiunzi cha mfumo wa vilabu sababu katika miaka yake 31 ameshacheza club tatu kubwa na kupata mataji na tuzo kubwa.
 
Correction Ronaldo alianzia sporting Lisbon, kuhusu Messi amecheza the best team in the world for about two decades now katika hayo mafanikio % kubwa juna la Messi lipo

Bold :in the WORLD sio england wala spain peke yake hata Argentina wataalam wa soccer wana postulate 90% ni yeye ndo anaifikisha fainali naza world cup na copa America
 
Two decades in just one team! Cristiano Ronaldo two decades in three teams and in all of three he won champions league and among the three two were and still are the best teams.
 
Two decades in just one team! Cristiano Ronaldo two decades in three teams and in all three he won champions league and among the three two were and still are the best teams.
Me sijakuelewa unapima uwingi wa team au mafanikio?kwa sababu kuna wachezaji wamecheza nyingi kushinda huyo Gaynardo unayemsema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…