Pengobovu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 482
- 545
The Best Evermkuu nieleweshe kirefu cha TBE au unamaanisha ni Tuberculosis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Best Evermkuu nieleweshe kirefu cha TBE au unamaanisha ni Tuberculosis
Nadhani unadanganya. Hili sanamu liliwekwa baada ya mashindano na walikuwa wakimtukuza na ilikuwa njia mojawapo ya kumtia moyo arudi timu ya taifa wakati amejitoa.Matukio hayo hayakwenda pamoja Mkuu. Sanamu la Messi lilivunjwa huko Argentina kama njia ya kumshinikiza kurejea kwenye timu ya Taifa wakati ule alipotangaza kuachana na timu hiyo ya taifa. Ulivyoweka hapa, una nia ya kuaminisha wasomaji kuwa matukio hayo yalikwenda pamoja. Jua ya kwamba, sanamu hilo limeshaanza kukarabatiwa. Messi, the best ever!
Em tumalize utata tangu 2009-2016 Ronaldo amechukua la liga ngapi na messi amechukua ngapi? Ukipata jibu nijuzeNi aibu kusema Mess Kachukua 8 halafu CR7 Kachukua 5 Laliga. Msisahau Ronaldo kaazia England, yaani hizo 8 za Mess ni kwa maisha yake yote ya mpira. Mnajifariji sana.
Haya ebu fikiria Ronaldo angeanzia Spain angechukua ngapi? Wakati anakuja Spain Mesi alikuwa kachukua ngapi?
Mashabikivwa nchi yake wenyewe wamemuona anazingua nabwameamua kuvunja sanamu lake, nyie ambao wengine hamjapanda hata ndege hamlali kumtukuza mwizi huyo mkwepa kodi, haya bwana....
Rekebisha hapo penaldo hana la liga 5 ana la liga moja tuNi aibu kusema Mess Kachukua 8 halafu CR7 Kachukua 5 Laliga. Msisahau Ronaldo kaazia England, yaani hizo 8 za Mess ni kwa maisha yake yote ya mpira. Mnajifariji sana.
Haya ebu fikiria Ronaldo angeanzia Spain angechukua ngapi? Wakati anakuja Spain Mesi alikuwa kachukua ngapi?
Mashabikivwa nchi yake wenyewe wamemuona anazingua nabwameamua kuvunja sanamu lake, nyie ambao wengine hamjapanda hata ndege hamlali kumtukuza mwizi huyo mkwepa kodi, haya bwana....
mkuu mbona unarukarukaNi aibu kusema Mess Kachukua 8 halafu CR7 Kachukua 5 Laliga. Msisahau Ronaldo kaazia England, yaani hizo 8 za Mess ni kwa maisha yake yote ya mpira. Mnajifariji sana.
Haya ebu fikiria Ronaldo angeanzia Spain angechukua ngapi? Wakati anakuja Spain Mesi alikuwa kachukua ngapi?
Mashabikivwa nchi yake wenyewe wamemuona anazingua nabwameamua kuvunja sanamu lake, nyie ambao wengine hamjapanda hata ndege hamlali kumtukuza mwizi huyo mkwepa kodi, haya bwana....
atakuwa kabugia viroba kajaa porojoRekebisha hapo penaldo hana la liga 5 ana la liga moja tu
Ni mgumu kuelewa na ndio maana unalinganisha vitu bila kuzingatia parameters ,mafanikioa ya mtu ni jinsi anvyoweza ku-overcome challenges mbalimbali,hivi baba akiwa na garage nyumbani na motto akaja kuwa fundi utashangaa? Ronaldo kajitupa msituni kupambana na katoka,messi yuko zoo miaka yote.Me sijakuelewa unapima uwingi wa team au mafanikio?kwa sababu kuna wachezaji wamecheza nyingi kushinda huyo Gaynardo unayemsema
Mashabiki maandazi hawaatakuwa kabugia viroba kajaa porojo
hawa washabiki wa 2015 wanasumbua sana
Usijitie upofu mkuu, najua pia siyo lengo lako, ebu fuata link hii utulize kalio, Cristiano Ronaldo – Career Achievements | Genius kunywa maji mwananguEm tumalize utata tangu 2009-2016 Ronaldo amechukua la liga ngapi na messi amechukua ngapi? Ukipata jibu nijuze
Cristiano Ronaldo – Career Achievements | GeniusRekebisha hapo penaldo hana la liga 5 ana la liga moja tu
Hahaaa naona unajitekenya mwenyewUsijitie upofu mkuu, najua pia siyo lengo lako, ebu fuata link hii utulize kalio, Cristiano Ronaldo – Career Achievements | Genius kunywa maji mwanangu
Naomba unipe total ya makombe aliyo chukua
Yasin21Naomba unipe total ya makombe aliyo chukua
Kweli bangi sio nzuriYasin21
JF-Expert Member
22
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:
Jul 15, 2015
Messages:
379
Likes Received:
191
Trophy Points:
60
Liked:
43
Yasin21 was last seen:
1 minute ago
Mkuu inamaana unavuta? soma hapa tena. Lionel Messi statue in Argentina found missing its top half nami nakuunga mkono, bangi siyo nzuri, hasa ikiwa mbichi.Kweli bangi sio nzuri
Yasin21
JF-Expert Member
22
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:
Jul 15, 2015
Messages:
379
Likes Received:
191
Trophy Points:
60
Liked:
43
Yasin21 was last seen:
1 minute ago
AibuNaona mleta uzi kaingia mitini