Wakati Ronaldo akipata tuzo ya mchezaji bora, Sanamu la Messi lavunjwa Argentina

Matukio hayo hayakwenda pamoja Mkuu. Sanamu la Messi lilivunjwa huko Argentina kama njia ya kumshinikiza kurejea kwenye timu ya Taifa wakati ule alipotangaza kuachana na timu hiyo ya taifa. Ulivyoweka hapa, una nia ya kuaminisha wasomaji kuwa matukio hayo yalikwenda pamoja. Jua ya kwamba, sanamu hilo limeshaanza kukarabatiwa. Messi, the best ever!
Nadhani unadanganya. Hili sanamu liliwekwa baada ya mashindano na walikuwa wakimtukuza na ilikuwa njia mojawapo ya kumtia moyo arudi timu ya taifa wakati amejitoa.

Naona unatumia uongo ili kupoza moyo wako, pole sana
 
Ni aibu kusema Mess Kachukua 8 halafu CR7 Kachukua 5 Laliga. Msisahau Ronaldo kaazia England, yaani hizo 8 za Mess ni kwa maisha yake yote ya mpira. Mnajifariji sana.

Haya ebu fikiria Ronaldo angeanzia Spain angechukua ngapi? Wakati anakuja Spain Mesi alikuwa kachukua ngapi?

Mashabikivwa nchi yake wenyewe wamemuona anazingua nabwameamua kuvunja sanamu lake, nyie ambao wengine hamjapanda hata ndege hamlali kumtukuza mwizi huyo mkwepa kodi, haya bwana....
 
Em tumalize utata tangu 2009-2016 Ronaldo amechukua la liga ngapi na messi amechukua ngapi? Ukipata jibu nijuze
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni aibu kusema Mess Kachukua 8 halafu CR7 Kachukua 5 Laliga. Msisahau Ronaldo kaazia England, yaani hizo 8 za Mess ni kwa maisha yake yote ya mpira. Mnajifariji sana.

Haya ebu fikiria Ronaldo angeanzia Spain angechukua ngapi? Wakati anakuja Spain Mesi alikuwa kachukua ngapi?

Mashabikivwa nchi yake wenyewe wamemuona anazingua nabwameamua kuvunja sanamu lake, nyie ambao wengine hamjapanda hata ndege hamlali kumtukuza mwizi huyo mkwepa kodi, haya bwana....
Rekebisha hapo penaldo hana la liga 5 ana la liga moja tu
 
Attachments

  • IMG_20170113_122546_940.JPG
    IMG_20170113_122546_940.JPG
    20.4 KB · Views: 23
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni aibu kusema Mess Kachukua 8 halafu CR7 Kachukua 5 Laliga. Msisahau Ronaldo kaazia England, yaani hizo 8 za Mess ni kwa maisha yake yote ya mpira. Mnajifariji sana.

Haya ebu fikiria Ronaldo angeanzia Spain angechukua ngapi? Wakati anakuja Spain Mesi alikuwa kachukua ngapi?

Mashabikivwa nchi yake wenyewe wamemuona anazingua nabwameamua kuvunja sanamu lake, nyie ambao wengine hamjapanda hata ndege hamlali kumtukuza mwizi huyo mkwepa kodi, haya bwana....
mkuu mbona unarukaruka
huyo penado kachukua 5 nini?

au unaota
 
Me sijakuelewa unapima uwingi wa team au mafanikio?kwa sababu kuna wachezaji wamecheza nyingi kushinda huyo Gaynardo unayemsema
Ni mgumu kuelewa na ndio maana unalinganisha vitu bila kuzingatia parameters ,mafanikioa ya mtu ni jinsi anvyoweza ku-overcome challenges mbalimbali,hivi baba akiwa na garage nyumbani na motto akaja kuwa fundi utashangaa? Ronaldo kajitupa msituni kupambana na katoka,messi yuko zoo miaka yote.
 
Effect of penaldo
 
Attachments

  • IMG_20161125_075911_925.JPG
    IMG_20161125_075911_925.JPG
    27.5 KB · Views: 26
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom