Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Ama Kwa hakika Simba hua anashiriki mashindano ya Kimataifa katika mazingira magumu sana tofauti na wapinzani wao wote,yaani wa ndani na nje.
RS Berkane wao walishamaliza ligi Yao siku nyingi TU na Sasa kazi Yao ni moja TU,kujifunza kuisoma Simba na kufanya mazoezi dhidi ya Simba TU.
Wakati huohuo Simba bado anapambana na michezo ya ndani yenye Kila aina ya hila na hujuma,Tena bahati mbaya hila na hujuma ni kuhakikisha Simba haifanyi vizuri katika mechi hizo za ndani,na pia kupelekea isifanye vizuri kwenye michezo yake miwili iloyobaki ya Kimataifa.
Sijui Uongozi wa Simba na hata TFF wanagaratee vipi usalama wa wachezaji wa Simba.
Athari katika hali hii inayokabiliana nayo Simba ni kubwa mno.
Kwanza wachezaji wanacheza kwa uwoga kwa kujilinda zaidi wasiumizwe,wakati Wa RS Berkane wao hawana risk hiyo,sanasana kama wana majeruhi wao wanapata nafasi ya kupona vizuri.
Kuogopa kuumizwa kunawafanya wachezaji wapoteze uwezo wa kufanya vizuri.
RS Berkane wanapata muda wa kutosha kuwasoma Simba,wakati Simba watapata muda mfupi wa kuwasoma RS Berkane baada ya Simba kumaliza viporo vyake.
Kocha wa Simba analazimika kupanguapangua ama kuvurugavuruga kikosi chake ili kuficha baadhi ya mbinu,Hali hii inaiathiri Simba katika harakati zake za kutwaa ubingwa wa NBC.
RS Berkane inafaidika kuwaona Simba wakicheza live,kuona hata uwezo wa wachezaji wa akiba.
Simba haiwezi kupata faida hiyo ila kwa michezo yao iliyopita.
Bahati pekee yenye faida na hata hasara Kwa Simba ni kuendelea kupata mech fitness kutokana na viporo,lakini hasara ni pale wachezaji wasiumizwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
Sio Siri Simba inapaniwa sana na timu za ndani,timu zinaahidiwa Hela ziifunge Simba,Kwa Hali hiyo Simba inalazimika kucheza kama inacheza fainali,lakini kwa umakini mkubwa mno,hali hii ndio Wanasimba wanita Kila mechi ya Simba ni Fainali.
Jamani ila tukubali tukatae Simba Kila mchezo kwake ni Fainali.
Bila hata kutumia nguvu kufikiri ni wazi kua,RS Berkane wanajipanga na watataka kumaliza fainali kwao,hili nadhani benchi la ufundi la Simba na uongozi wanalijua fika.
Kujua vizuri nguvu na udhaifu wa RS Berkane kuko mikononi mwa kocha Fadlu Davis ambae ameshafanya kazi Morocco akiwa msaidizi wa Mjerumani aliekua kocha wa Raja Casablanca.
Raja Casablanca walishakutana mara mbili na RS Berkane Fadlu akiwa kocha msaidizi.
Sio Raja Casablanca TU,Bali pia Orlando Pirates iliwahi kukutana na RS Berkane mara mbili Fadlu akiwa kocha msaidizi.
Matokeo ya Raja na RS Berkane angalau Berkane alipigwa.
Angalau hapa ndio tegemeo pekee la Simba kuweza kuwasoma vizuri RS Berkane
Hata hivyo Niijuavyo Simba hua haiogopi umbo wala ukubwa wa timu hapa Afrika.
Simba imeshakutana na timu Wababe wote wa Afrika hivyo hainaga Cha kuhofia.
Simba ikiwa porini kwa Mkapa ikitaka jambo lake hua ni balaa kubwa.
Hata hivyo naona Simba ikienda kufanya maajqbu mwaka huu.