Wakati sahihi kwa mjamzito kusafiri

Wakati sahihi kwa mjamzito kusafiri

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Wakati mzuri wa kusafiri kwa mjamzito ni vizuri kusafiri katikati ya ujauzito (kuanzia wiki 14 ya ujauzito hadi wiki 28). Kwasababu katika wiki hizi, nguvu zilizopotea wakati mimba ikiwa changa hujirudi upya, ugonjwa wa kutapikana, kichefuchefu hukoma na kuisha, pia mjamzito anaweza kuzunguka kwa urahisi.

Baada ya wiki 28, inaweza kuwa vigumu kuzunguka au kukaa kwa muda mrefu kutokana na shinikizo la nyonga.

Insta-Reflectors.jpg
 
Back
Top Bottom