BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Huyu ndiye S.H.Amon au siye ?View attachment 3145488
KINGABOY on the wheel.
Sijaelewa
Mtu ilipie 20m TRA kwa ajili ya private number, huo sio ujanja ni ulimbukeni.View attachment 3145488
KINGABOY on the wheel.
Duh aiseeAnamaanisha jamaa mwenye hio plate ni Mkinga wa kwanza kumiliki gari
Huna pesa mkuu.. ni ishu ndogo kama mpunga upoMtu ilipie 20m TRA kwa ajili ya private number, huo sio ujanja ni ulimbukeni.
Wivu na umasikini unakusumbuaUshamba tu
Mamboakina mapembelo tena
Mambo mshang....akina mapembelo tena
Isiishie kwenye mbwa tu.Ifike kwa wala panya,panzi/balangulu,washawasha,shenkete,simbilisi,mbilikimo,funza nk.Acheni kula mbwa kwanza
Kila mtu anambinu zake kwenye biashara sio mjinga hilo jina inawezeka linamuingizia faida kuliko hiyo pesa aliyoilipia plate numberMtu ilipie 20m TRA kwa ajili ya private number, huo sio ujanja ni ulimbukeni.
Huko unapoenda ni kama unatafuta watu ubayaIsiishie kwenye mbwa tu.Ifike kwa wala panya,panzi/balangulu,washawasha,shenkete,simbilisi,mbilikimo,funza nk.