Wakati shule zikifungwa leo na kesho, huko Kaizirege mwanafunzi afatwa na helikopta na mzazi wake

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Mzazi kaona mambo yasiwe mengi, kamfata mwanae na helikopta shuleni Kaizirege. Wahaya mna nini lakini?🤣🤣
IMG_6959.jpeg
 
Hizi post zinaonesha namna watu wa aina yako na waliopost hizo video na wanaocomment kuhusu wahaya walivyo na IQ ndogo sana.

Hivi kila anayesoma kwenye hiyo shule ni muhaya? Hivi kuna ajabu gani mtoto kufuatwa na usafiri ambao mzazi anaona ni bora kwake? Hivi ni kipi cha kushangaza hapo hadi iwe gumzo la nchi kwenye mitandao? Mazingira ya shule inayotajwa na viunga vyake mnayafahamu au mnajiropokea kwa kusikia hiyo sauti ya huyo kilaza? Acheni kuonesha mlivyo na low thinking capacity
 
Waambie hao. Shule imekusanya makabila mbalimbali tena wa mikoa ya mbali na hapo shule.
 
Tumefanya hivyo ili awahi ndege dogo anaenda kupiga short course Taiwan na yuko nje mda
 
Hizi post zinaonesha namna watu wa aina yako na waliopost hizo video na wanaocomment kuhusu wahaya walivyo na IQ ndogo sana.

Hivi kila anayesoma kwenye hiyo shule ni muhaya? Hivi kuna ajabu gani mtoto kufuatwa na usafiri ambao mzazi anaona ni bora kwake? Hivi ni kipi cha kushangaza hapo hadi iwe gumzo la nchi kwenye mitandao? Mazingira ya shule inayotajwa na viunga vyake mnayafahamu au mnajiropokea kwa kusikia hiyo sauti ya huyo kilaza? Acheni kuonesha mlivyo na low thinking capacity
Huna akili
 
Isije kuwa ni ungo ila mmefumbwa macho muone ni helicopter
 
Back
Top Bottom