Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
ZANZIBAR kuwa na mkurugenzi wake wa Idara nyeti kama usalama wa taifa ni wazi kuwa Zanzibar wako makini sana na nchi Yao. Ni sharti katika sheria ya usalama wa taifa kwamba kutakuwa na mkurugenzi na naibu mkurugenzi ambaye lazima awe mzanzibar. Hivi Kuna mtu anawaza usalama wa Tanganyika DHIDI ya Zanzibar.
Hivi kama Kuna ZRA hai TRA wanafanya kazi gani Zanzibar?
Je Jaji Mkuu WA Tanzania na mahakama ya Rufani Kwa jumla ina mamlaka gani Zanzibar yenye maslahi mapana Kwa kujenga na kuimalisha Muungano Hadi watanzania tujione ni nchi Moja.
Nawaza tu, huenda Taasisi yenye nguvu yenye kushika umoja na mshikamano wa Tanzania kama taifa Moja ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
Watanzania tuziombee nchi zetuMungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Zanzibar.