joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Wacha kunifuatilia, nenda Koinange road ukauze papuchi yakoYour whole life is full of shit and ua only language is bullshit.Sorry dumb go buy some brains u need it
Kufuatilia una nini wewe,an ugly brainless orangutan as u🤮🤮Wacha kunifuatilia, nenda Koinange road ukauze papuchi yako
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
And go https://jamii.app/JFUserGuide uaself🖕or u might as hug a Transformer seems u in the moodWacha kunifuatilia, nenda Koinange road ukauze papuchi yako
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu wala hukua na haja ya kumtukana, hili jukwaa la kenya ni special kwajili yenu watani wetu, U dont shit were u eat 😁😁 huyo mwache tu, kila nikiingia jukwaani humi kucheki what's up in Kenya nakuta nyuzi zake huyu bad enough they amoint to nothing.Your whole life is full of shit and ua only language is bullshit.Sorry dumb go buy some brains u need it
Ndio maana ya jukwaa hili, kila mtu ana uhuru wa kusema apendavyo ili muradi hatukani, wewe ukiona anakukera unaamua kuachana naye husomi posts zake.Mkuu wala hukua na haja ya kumtukana, hili jukwaa la kenya ni special kwajili yenu watani wetu, U dont shit were u eat [emoji16][emoji16] huyo mwache tu, kila nikiingia jukwaani humi kucheki what's up in Kenya nakuta nyuzi zake huyu bad enough they amoint to nothing.
siku zote ukimfata nguruwe kwenye matope ili mpigane bado utachafuka matope hata kama utamchinja[emoji16]. Huyu ni Mtanzania mwenzangu ila kwa vitu anavyofanyaga sijawahi kumwelewa,
it's as if he's so lonely and he has formed a napoleon syndrome kitu pekee kilichobaki ni ku compensate loneliness kuja kusumbua humu, i pitty this guy
Mkuu mwenzio yupo kazini kwa kazi maalum ambayo ordinary person like you will never comprehend easily.siku zote ukimfata nguruwe kwenye matope ili mpigane bado utachafuka matope hata kama utamchinja😁. Huyu ni Mtanzania mwenzangu ila kwa vitu anavyofanyaga sijawahi kumwelewa,
it's as if he's so lonely and he has formed a napoleon syndrome kitu pekee kilichobaki ni ku compensate loneliness kuja kusumbua humu, i pitty this guy
kwani unapata wapi muda na nguvu ya kumfuatilia mtu kama huyo???Mkuu wala hukua na haja ya kumtukana, hili jukwaa la kenya ni special kwajili yenu watani wetu, U dont shit were u eat [emoji16][emoji16] huyo mwache tu, kila nikiingia jukwaani humi kucheki what's up in Kenya nakuta nyuzi zake huyu bad enough they amoint to nothing.
siku zote ukimfata nguruwe kwenye matope ili mpigane bado utachafuka matope hata kama utamchinja[emoji16]. Huyu ni Mtanzania mwenzangu ila kwa vitu anavyofanyaga sijawahi kumwelewa,
it's as if he's so lonely and he has formed a napoleon syndrome kitu pekee kilichobaki ni ku compensate loneliness kuja kusumbua humu, i pitty this guy
Kafanya kipi mkuu, mtu mwenyewe hawezi kufanya hata hio kazi katika proffesiona behaviour moja kati ya nguzo kuu za ethhics za kazi, leo tu hapa mchana kawa very personal kamtukana mtu humu ndani badala ya kujibu kwa hoja, hana lolote, just a piece of sh*t to cause unnecessary discussiona in hereMkuu mwenzio yupo kazini kwa kazi maalum ambayo ordinary person like you will never comprehend easily.
So far joto la jiwe has done unparalleled and excellent work for our mother country Tanzania.
Nilishasema kama wewe mtu wa kawaida huwezi kuona anachofanya joto la jiwe .Kafanya kipi mkuu, mtu mwenyewe hawezi kufanya hata hio kazi katika proffesiona behaviour moja kati ya nguzo kuu za ethhics za kazi, leo tu hapa mchana kawa very personal kamtukana mtu humu ndani badala ya kujibu kwa hoja, hana lolote, just a piece of sh*t to cause unnecessary discussiona in here
Hakuna haja ya kutumia muda kuchunguza, huyo jamaa nyuzi nyingi yupo kuanzisha mabishano na matambo, That is just way too childish.kwani unapata wapi muda na nguvu ya kumfuatilia mtu kama huyo???
unapita kenyan forum kugundua kitu gani na umesema wewe ni mtz???
je unafikiri akiandika kitakachokufurahisha au kile ambacho wewe unakipenda ndio unakuwa ukweli au uhalisia wa mambo!!
jaribu kujifunza zaidi kuhusu haya mambo, utamshukuru joto ya jiwe.
ninamquote alivyomjibu Magix EngaNilishasema kama wewe mtu wa kawaida huwezi kuona anachfanya joto la jiwe .
Yuele alyerukanwa she/he had it coming!
Alianza yeye jamaa akamrudishia kwa ukali zaidi ili next time ajifunze kila mtu anajua matusi na kejeli.
Tangu mwanzo yule mdau alikuwa anamshambulia kwa maneno makali badala ya hoja.
usihangaike na jukwaa jingine tembelea mitandao tofauti na huu uone rangi halisi ya mkenya, achana na hao wa mipakani ambao hawana wanachokosa kutokea tz.Hakuna haja ya kutumia muda kuchunguza, huyo jamaa nyuzi nyingi yupo kuanzisha mabishano na matambo, That is just way too childish.
Yes mimi ni Mtz, Wezetu hawa kenya ni wapo mpakani tu hapo na pia we share a lot of things culturally, historically, economically, Upo very simple minded, ulidhani nikiwa mtz ndo nisije humu?, kwani ni maadui??
Lengo la hii forum ipo wazi tayari ni kuhusuana na habari za kenya and vitu vinavyoendelea huko, Sio watu hasa wa tz kuja humu ndani na kuanza kulazimisha battles za kujipima wakiifanya kenya iwe benchmark, This is just unreaasonable.
Kiti kidogo tu kikizinduliwa tz basi mtu hata hajameza chakula vizuri anakurupuka kuja huku kuanzisha maada ya kitu hicho kukilinganisha na cha Ke [emoji848][emoji848], hivi umewahi kwenda majukwaa mengine ukakuta wakenya wapo bize kuitumia tz kuwa kipimo chao cha kulinganishana na vitu vyao, hata kama vitu vingine kama kuwa na kina lupita wanaocheza hollywood umewahi kuona wameenda jukwaa la habari za tz wakaanza kuponda wasanii wetu??
what is going on here is childish.
Maxence Melo
Active
Hahahaha, hahahaha, hahahahaMaxence Melo
Active
Moderator
Hawa mods naona wametulia tuli nahisi mna enjoy huu mgawanyiko unaoendelea humu wakati nyinyi ni mods [emoji848][emoji848]
fanyeni kazi professionaly
fungueni jukwaa jipya la haya ma competition
maada kibao nimeona watz wenzangu pia kutopendezwa na hii hali iliyo kama ubaguzi flani hivi kwa wenzetu.
take actions
Sidhani kama wanasikilizaga wavuta bhangiMaxence Melo
Active
Moderator
Hawa mods naona wametulia tuli nahisi mna enjoy huu mgawanyiko unaoendelea humu wakati nyinyi ni mods [emoji848][emoji848]
fanyeni kazi professionaly
fungueni jukwaa jipya la haya ma competition
maada kibao nimeona watz wenzangu pia kutopendezwa na hii hali iliyo kama ubaguzi flani hivi kwa wenzetu.
take actions
Mkuu inawezekana hausomi mara nyingi,wakenya wa JF wanatusema vibaya sana tena mara nyingi.Wewe ndo unakurupuka mkuu, Tz tunahusiana vp kwenye shida zao huko wakati na sisi shida tunazao kibao tu, Jukwaa ni la Kenya sasa navyoingiaga humu nakutana na karibu kila maada yako kuwasema wakenya huku ukiipachika tz nakuonaga kama haupo sawa kichwani, wakenya wangekua na tabia hii kwenye majukwaa ya tz kungetulia kweli ???
Majuzi juzi tu wabunge wetu tena wanawake wamepewa vichapo heavy sana moja alipigwa buti kazunguka hewani mpaka kuvunjika mkono, naona kila moja abaki na hali yake tu, hili jukwaa liwe strictly kenyan.
Kika nikija kucheki news za kenya nakuja kukutana na maada zako zisizo na tija as ifi hili ni jukwaa la vita, Grow up mzee, unafanya vitu kama vile umefundishwa kila kitu na mtoto mdogo.
Great Thinker big up, u-mwalimu mzuri mkuu.Sasa mbona ulisema hunielewi, tofautisha kunielewa na kutokubaliana na hoja zangu, kuniekewa unanielewa ila hukubaliani na hoja zangu, hilo ni sawa na unaruhusiwa kupinga pale usipokubaliana napo.
Wewe umejiunga mwaka huu na mpaka sasa umeweka post 600 pekee, mimi nipo hapa huu ni mwaka wa 4 nimeweka post zaidi ya 15K, hii inakuonyesha wazi jinsi nilivyokutana na maoni tofauti.
Kikubwa ninachotaka kukuambia karibu sana hapa JF, kuwa huru kuandika chochote unachojisikia bila kumtukana au kumdhalilisha mtu yoyote. Ninategemea kuona posts zako ili ikiwezekana nichangie, ila mimi huo ndio muelekeo wangu wa uchangiaji, nimetengeneza marafiki na maadui kwa uwiano sawia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]