Hakuna haja ya kutumia muda kuchunguza, huyo jamaa nyuzi nyingi yupo kuanzisha mabishano na matambo, That is just way too childish.
Yes mimi ni Mtz, Wezetu hawa kenya ni wapo mpakani tu hapo na pia we share a lot of things culturally, historically, economically, Upo very simple minded, ulidhani nikiwa mtz ndo nisije humu?, kwani ni maadui??
Lengo la hii forum ipo wazi tayari ni kuhusuana na habari za kenya and vitu vinavyoendelea huko, Sio watu hasa wa tz kuja humu ndani na kuanza kulazimisha battles za kujipima wakiifanya kenya iwe benchmark, This is just unreaasonable.
Kiti kidogo tu kikizinduliwa tz basi mtu hata hajameza chakula vizuri anakurupuka kuja huku kuanzisha maada ya kitu hicho kukilinganisha na cha Ke [emoji848][emoji848], hivi umewahi kwenda majukwaa mengine ukakuta wakenya wapo bize kuitumia tz kuwa kipimo chao cha kulinganishana na vitu vyao, hata kama vitu vingine kama kuwa na kina lupita wanaocheza hollywood umewahi kuona wameenda jukwaa la habari za tz wakaanza kuponda wasanii wetu??
what is going on here is childish.
Maxence Melo
Active