BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Inaendelea...Tatizo ni fisadi ROSTAM AZIZI bei ya gesi ipo juu mara mbili ya inavyo stahili ...kama ingekuwa chini basi bila hata ya serikali kuangiza magari kutumia gesi kungetokea mfumuko wa matumizi ya gesi kwenye kila mashine yakiwemo magari ....hata bei ya umeme ilitakiwa kushuka kama ingeshuka basi kwa sh 1000 units 4.8 basi hata bei ya gesi ingeshuka na uchumi ungeimalika sana mfuko wa bei ungeshuka na thamani ya pesa yetu ingepanda sana ....tatizo tulilo nalo ni kuongozwa na MWANAMKE siku zote mwanamke hana akili ya kuongoza watu bali kuongozwa tu
Basi ukamgongea jirani jirani akafungua kukuhoji kuna nini usiku wote huu maana ulikua unagonga kwa jazba km unakimbizwa kwenye fumanizi la ugoni jirani kukutazama vizuri kwanza alikaribishwa na harufu kali asijue inapotokea ikabidi akuhoji kulikoni jirani?