Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi ikiagiza mafuta kwa mabilioni ya Fedha za Kigeni, Nigeria yaamuru magari yawekwe mfumo wa gesi

Tatizo ni fisadi ROSTAM AZIZI bei ya gesi ipo juu mara mbili ya inavyo stahili ...kama ingekuwa chini basi bila hata ya serikali kuangiza magari kutumia gesi kungetokea mfumuko wa matumizi ya gesi kwenye kila mashine yakiwemo magari ....hata bei ya umeme ilitakiwa kushuka kama ingeshuka basi kwa sh 1000 units 4.8 basi hata bei ya gesi ingeshuka na uchumi ungeimalika sana mfuko wa bei ungeshuka na thamani ya pesa yetu ingepanda sana ....tatizo tulilo nalo ni kuongozwa na MWANAMKE siku zote mwanamke hana akili ya kuongoza watu bali kuongozwa tu
Inaendelea...

Basi ukamgongea jirani jirani akafungua kukuhoji kuna nini usiku wote huu maana ulikua unagonga kwa jazba km unakimbizwa kwenye fumanizi la ugoni jirani kukutazama vizuri kwanza alikaribishwa na harufu kali asijue inapotokea ikabidi akuhoji kulikoni jirani?
 
Kila siku nasema.

Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi.

Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari yake na viwanda, Nigeria wameona watumie akili zao vizuri kwa kuagiza magari nchini humo kubadilishwa mfumo kutoka petrol kwenda kwenye gesi ambayo inapatikana kwa wingi kwao ili kuondoa utegemezi wa kuagiza mafuta kutoka nje na kuokoa fedha za kigeni.

Naionea huruma sana Tanzania yangu. Sijui lini tutapata Viongozi wenye akili watutoe hapa tulipo.

Yaani pamoja na kugundua gesi yote hiyo hadi leo kwa Dar tu tuna vituo vya kujaza gesi magari vizivyozidi 4. Alafu Viongozi wetu hawa kila siku wanatembeza bakuli kuomba fedha za miradi ya maendeleo nchini kwetu wakati tungeweza kuokoa fedha nyingi sana tunazotumia kuagiza mafuta kwa kutumia gesi yetu hii kwenye magari na viwanda.

Kweli bongo nyoso.
View attachment 3148156
Bongo tunashida sana tunadhani kwa sababu tuna Gas basi tutaichuma kama tunavyochuma mchicha. Nani atakuja kuchimba Gas, nani atazalisha Gas, soko liko wapi lakuvutia uwekezaji? kweli atakuja muwekezaji aweke mabilion ya dola kwa soko la ndani la Shilling ya Tz? Mbona dhahabu tunauza nje, mbona almasi tunauza nje. ZIko nchi nyingi Africa wanauza crude jiulize kwanini watu maskini, nchi za waarabu wameweza kitu kimija kikubwa. wana mifuko ya investment funds kutokana na mafuta halafu wana invest kuleta cash na crude wanauza nje lakini wamejenga refinery kubwa na chemical plants kuongeza thamani ya mafuta. Ras Khaimah UAE wana matank kibao pale wanazalisha products, Saudi Arabia hizi Petro chemical kibao kwao sababu wana funds wana invest. Hapa mwekezaji akija atachimba Gas soko lake la nje, kumbuka LNG hujengi mpaka ukiwa ume sign na mteja wa kununua. Kwa mfano mdogo tofauti ya crude na Gas plant ni, Gas plant kabla kujengwa una secure soko una sign kabisa na mteja wa kununua kwa miaka... sababu storage yake limited, crude unauza kwa miezi kabla hujazalisha. soko la ndani sio attractive kwa bei.
 
Kazi ya TPDC ni ipi?

Kwa miaka yote tumekuwa tunachimba Mnazi Bay tumeshindwa kweli kufanya hayo?

Kwani uhakika wa soko la ndani sio kigezo kimojawapo cha kufanya uwekezaji? Tumewekeza kweli nguvu ya kutosha au ndo kutafuta sababu ku justify uvivu wetu wa kufikiri na kufanya maamuzi?

Kama Tanzania tunahitaji maendeleo ya kweli lazima tubadirike kweli hasa katika kutumia akili zetu vizuri kwa maendeleo yetu na sio vinginevyo. Hizi excuses tunazokujq nazo kila siku ni ujinga wa mtu mweusi tu!
 
Kila siku nasema.

Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi.

Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari yake na viwanda, Nigeria wameona watumie akili zao vizuri kwa kuagiza magari nchini humo kubadilishwa mfumo kutoka petrol kwenda kwenye gesi ambayo inapatikana kwa wingi kwao ili kuondoa utegemezi wa kuagiza mafuta kutoka nje na kuokoa fedha za kigeni.

Naionea huruma sana Tanzania yangu. Sijui lini tutapata Viongozi wenye akili watutoe hapa tulipo.

Yaani pamoja na kugundua gesi yote hiyo hadi leo kwa Dar tu tuna vituo vya kujaza gesi magari vizivyozidi 4. Alafu Viongozi wetu hawa kila siku wanatembeza bakuli kuomba fedha za miradi ya maendeleo nchini kwetu wakati tungeweza kuokoa fedha nyingi sana tunazotumia kuagiza mafuta kwa kutumia gesi yetu hii kwenye magari na viwanda.

Kweli bongo nyoso.
View attachment 3148156
Nigeria ni nchi ya wajinga sana
Baada ya dangote kujenga oil refinery sasa wanamkomoa kwa kubadilisha mifumo ya magari

Nigeria nchi yenye utajiri wa mafuta ardhini mkubwa afrika ambao wameshindwa kuutumia unawaita wana akili
Kuna vitu vingi mleta uzi huvijui
 
Hakuna cha kukomolewa Dangote wala nini. Kinachofanywa ni sahihi. Gesi ni nafuu kuliko mafuta inatumika kwa muda mrefu kuliko mafuta.

Magari kuwa na mfumo hybrid ni suala zuri sana.

Tanzania vitu vingi huwa vinapanda bei baada ya bei ya mafuta kuongezeka. Tutakapoanza kutumia gesi tuna uhakika wa kutokupanda kwa bei za vitu na hatimaye maisha kuwa rahisi kwa wananchi wote.

Ni akili tu sio manguvu
 
Tanzania watu wengi wanatumia gesi kama ulikua hujui
 
Asante sana mkuu Pascal Mayalla Nilichogundua humu JF tuna watu wenye akili kuliko watu waliopo kwenye nafasi za uongozi humu nchini.

Na inawezekana kabisa kuongoza nchi kwa kutumia madini yanayopatikana humu JF na nchi ikakamata Dunia kama kitovu cha maendeleo.

Gharama za maisha nchini zinachangiwa sana na matumizi na uagizaji wa mafuta kutoka nje maana mafuta yakipanda vitu huwa vinapanda bei sana. Sasa fikiria tungetumia gesi yetu kama nishati kwenye magari na viwanda jinsi maisha yangekuwa rahisi kwa wananchi wetu?
 
Tatizo ni fisadi ROSTAM AZIZI bei ya gesi ipo juu mara mbili ya inavyo stahili ...kama ingekuwa chini basi bila hata ya serikali kuangiza magari kutumia gesi kungetokea mfumuko wa matumizi ya gesi kwenye kila mashine yakiwemo magari ....hata bei ya umeme ilitakiwa kushuka kama ingeshuka kwa sh 1000 units 4.8 basi hata bei ya gesi ingeshuka na uchumi ungeimalika sana mfuko wa bei ungeshuka na thamani ya pesa yetu ingepanda sana ....tatizo tulilo nalo ni kuongozwa na MWANAMKE siku zote mwanamke hana akili ya kuongoza watu bali kuongozwa tu
Nikiwa Dar natumia sana Bolt.

Madereva wa Bolt Dar wanasema gharama ya gesi ni tofauti kabisa na gharama ya petrol na inawasaidia sana kufanya mizunguko mingi kwa gharama ndogo hivyo kutengeneza faida.

Sisi tuna gesi mtwara na Lindi hadi haieleweki itaisha lini? Sasa kwa nini Serikali wasije na huo mpango wa kuhakikisha tunatumia nishati ya gesi kama nishati kuu kuendeshea uchumi wetu ikiwemo viwanda na vyombo vya moto?

Hawaoni wakifanya hivyo watapunguza sana gharama za maisha na kuondoa matumizi makubwa ya fedha kwenye uagizaji wa mafuta kutoka nje?

Sisi wenye gesi hadi leo hatuna mipango ya kutandaza mabomba ya gesi nchi nzima ili at least tutumie gesi hii ambayo inapatikana humu humu hatuagizi kutoka nje. Huu kama sio ujuha ni nini?
 
Kazi ya TPDC ni ipi?

Kwa miaka yote tumekuwa tunachimba Mnazi Bay tumeshindwa kweli kufanya hayo?

Kwani uhakika wa soko la ndani sio kigezo kimojawapo cha kufanya uwekezaji? Tumewekeza kweli nguvu ya kutosha au ndo kutafuta sababu ku justify uvivu wetu wa kufikiri na kufanya maamuzi?

Kama Tanzania tunahitaji maendeleo ya kweli lazima tubadirike kweli hasa katika kutumia akili zetu vizuri kwa maendeleo yetu na sio vinginevyo. Hizi excuses tunazokujq nazo kila siku ni ujinga wa mtu mweusi tu!
Mimi nadhani hauko serious kabisa, TPDC wamechimba nini? Mnazi bay unajuwa nani kachimba? Huo mtaji wa umetoka wapi wa TPDC. TPDC kazi yao kubwa ni kufanya kazi na muwekezaji kuhakikisha gharama zinazotumika zinaingia kwenye akili na recorded na kusimamia maslahi ya serikali technical sio financial. Kuchimba mafuta ni utaalamu na gharama, haya makampuni makubwa wana invest kwenye technology ya uchimbaji. Na hasa ukija kuchimba offshore sio kila mtu ana uwezo huo. Uchimbaji wa Gas sio kama uchimbaji wa mafuta, risk ni kubwa na vifaa vya uchimbaji hasa under balance drilling sio kitu kidogo kina cost a lot. Najuwa nasema nini.....
 
Tulishindwa kunegotiate na hao wawekezaji kuwa baadhi ya kiasi wanachochimba kitumike kwa matumizi ya ndani?
 
Nikiwa Dar natumia sana Bolt.

Madereva wa Bolt Dar wanasema gharama ya gesi ni tofauti kabisa na gharama ya petrol na inawasaidia sana kufanya mizunguko mingi kwa gharama ndogo hivyo kutengeneza faida.

Sisi tuna gesi mtwara na Lindi hadi haieleweki itaisha lini? Sasa kwa nini Serikali wasije na huo mpango wa kuhakikisha tunatumia nishati ya gesi kama nishati kuu kuendeshea uchumi wetu ikiwemo viwanda na vyombo vya moto?

Hawaoni wakifanya hivyo watapunguza sana gharama za maisha na kuondoa matumizi makubwa ya fedha kwenye uagizaji wa mafuta kutoka nje?

Sisi wenye gesi hadi leo hatuna mipango ya kutandaza mabomba ya gesi nchi nzima ili at least tutumie gesi hii ambayo inapatikana humu humu hatuagizi kutoka nje. Huu kama sio ujuha ni nini?
Hiyo gharama unayo hita ni ndogo bado ni kubwa sema wewe unalinganisha na petrol na dizer tu mimi naongea kwa mahesabu ya ndani ya kiuchumi ....
 
Kila siku nasema.

Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi.

Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari yake na viwanda, Nigeria wameona watumie akili zao vizuri kwa kuagiza magari nchini humo kubadilishwa mfumo kutoka petrol kwenda kwenye gesi ambayo inapatikana kwa wingi kwao ili kuondoa utegemezi wa kuagiza mafuta kutoka nje na kuokoa fedha za kigeni.

Naionea huruma sana Tanzania yangu. Sijui lini tutapata Viongozi wenye akili watutoe hapa tulipo.

Yaani pamoja na kugundua gesi yote hiyo hadi leo kwa Dar tu tuna vituo vya kujaza gesi magari vizivyozidi 4. Alafu Viongozi wetu hawa kila siku wanatembeza bakuli kuomba fedha za miradi ya maendeleo nchini kwetu wakati tungeweza kuokoa fedha nyingi sana tunazotumia kuagiza mafuta kwa kutumia gesi yetu hii kwenye magari na viwanda.

Kweli bongo nyoso.
View attachment 3148156
Maccm ni mashetani makubwa sana!
 
Kazi ya TPDC ni ipi?

Kwa miaka yote tumekuwa tunachimba Mnazi Bay tumeshindwa kweli kufanya hayo?

Kwani uhakika wa soko la ndani sio kigezo kimojawapo cha kufanya uwekezaji? Tumewekeza kweli nguvu ya kutosha au ndo kutafuta sababu ku justify uvivu wetu wa kufikiri na kufanya maamuzi?

Kama Tanzania tunahitaji maendeleo ya kweli lazima tubadirike kweli hasa katika kutumia akili zetu vizuri kwa maendeleo yetu na sio vinginevyo. Hizi excuses tunazokujq nazo kila siku ni ujinga wa mtu mweusi tu!
Nikusaidie kidogo, LNG hujengi mpaka uwe na uhakika na nani ananunua Gas yako, signed contract ndio unajenga mradi. LNG sio kama kituo cha mafuta unajenga halafu unasubiri wateja. Sisi hatuna Capital, hatuna utaalamu na zaidi Rigs zina gharama zake kubwa. Mtaji huna unataka kuchimba Gas tena offshore... tuwe serious kidogo. LNG plant hata vikampuni vidogo huko nje hawawezi hiyo ni miradi ya kina Exxon, Total, BP....
 
Tulishindwa kunegotiate na hao wawekezaji kuwa baadhi ya kiasi wanachochimba kitumike kwa matumizi ya ndani?
Sasa tunaenda kwenye mstari mmoja, mimi sijaona PSA na sidhani kama iko tayari. Goverment ina share yake kwenye Gas baada ya kutoa gawio la cost recovery. Ile share ya serikali labda 20 or 25% ni yao wanaweza kutumia kwenye soko la ndani bila kuathiri share za muwekezaji. Mradi kila unapokuwa old share za serikali zinazidi hapo ni juu ya serikali wanataka Tsh au $, nchi yenye busara wata cover soko la ndani ili kuepuka kununua Gas nje lakini kwa kuwa sisi Gas supply ni private sector na bei duniani same wanaweza kuuza na kuacha Gas kwa watu binafsi sababu utakuwa ujinga serikali kuuza Gas ndani bei rahisi inakuwa kama unatoa ruzuku, utauza bei ya kimataifa.
 
Nikusaidie kidogo, LNG hujengi mpaka uwe na uhakika na nani ananunua Gas yako, signed contract ndio unajenga mradi. LNG sio kama kituo cha mafuta unajenga halafu unasubiri wateja. Sisi hatuna Capital, hatuna utaalamu na zaidi Rigs zina gharama zake kubwa. Mtaji huna unataka kuchimba Gas tena offshore... tuwe serious kidogo. LNG plant hata vikampuni vidogo huko nje hawawezi hiyo ni miradi ya kina Exxon, Total, BP....
Hapana
Hizo ndo sababu tunazotumia na zinatufanya kila siku tuahindwe kufanya maamuzi makubwa na tuzidi kuwa nyuma

Kuna taarifa za wawekezaji kuja kujenga Plants za Gesi zenye gharama ndogo ila wanakataliwa kwa kuwekewa masharti ya kijinga.

Pia kama tungekuwa serious tusingeshindwa kuwapa TPDC hizo fedha au mitaji wakafanya hiyo miradi hata kwa njia ya PPP. Sasa hizo PPP anazosema kafulila kila siku kwa nini zisifanye kazi kwenye miradi ya maana ya namna hii yenye lengo la kutukomboa kweli kiuchumi na kupunguza gharama za maisha kwa wananchi?
 
Tulishindwa kunegotiate na hao wawekezaji kuwa baadhi ya kiasi wanachochimba kitumike kwa matumizi ya ndani?
Point yako ni muhimu sana shida yetu PSA ikoje? Serikali inarudisha vipi uwekezaji cost recovery, ni kwenye share ya Gas sasa hiyo ni jukumu la serikali kawaida kama wana 25% basi wanwapa wawekezaji labda 5% kila wakiuza mzigo as cost recovery siku wakimaliza kurudisha slowly serikali inatakiwa kuwa na share kubwa kuliko muwekezaji katika life ya PSA.
 
Back
Top Bottom