Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #61
Gesi iligunduliwa lini?Tanzania ilishaanza kitambo,usiripoke kabla ya kufanya Utafiti na kujiridhisha ππ
View: https://youtu.be/n6GjJts8kWE?si=YjzPe0Qhhu_4QujN
Umeongea ukweli mchungu hakikaJibu unalo unazunguka zunguka km juha..km ttaendelea na ujinga wa kupeana zamu za urais eti wakristo na waislamu..sahau maendeleo, mtasogea miaka 5 akija mwingine mnarudi nyuma mara 2 za ya mlivyosogea mbele..mfano wa kweli, mradi wa maji ziwa Victoria ulianza awamu ya 3 maji yakafika kahama na shinyanga..awamu ya 4 miaka 10 maji hata nzega tu hayakufika, awamu ya 5 ndani ya miaka 5 maji yakafika tabora na igunga..leo hii toka wamu wanayoiita ya 6 ianze hata tu kutaja mradi wa maji ziwa Victoria huwezi kusikia..eti mji mkuu Dodoma utatumia maji ya visima (borehole) unajenga uwanja wa ndege wa kimataifa wakati uhakika wa maji dodoma hakuna..serikali inakuwa km imejaza majuha ambao akili yao ni Pesa tu mifukoni mwao!..naamini awamu ya 5 ingeendelea sasa hivi dodoma wangekuwa wanatumia maji ya ziwa Victoria!
Ni hivi, yapo mataifa ya nje ymetufanya sisi soko kupitia imani..hii gesi tuliyo nayo tukiitumia hata 50% tu ya inavyopaswa hao tunaonunua mafuta na LPG kutoka kwao labda watakufa..hivyo ili waishi inabidi tuendelee kuwa wateja wa mafuta yao! Maji ya Victoria tukiyafikisha dodoma hao ambao mto nile umeshia kwao watakufa hivyo..tutumie maji ya visima ili wao waishi..UMEELEWA??
Hapo awali haikuwa ajenda Hadi majizi tuu baada ya shida ya Mafuta.Gesi iligunduliwa lini?
Kwa nini hadi leo Dar tu ina vituo 3?
Huoni kuwa kumekuwa na uzembe katika kufikiri vizuri?
Vyombo vingi vinavyotumika kusafirisha bidhaa na vyakula mfano malori Bado vinatumia mafuta, na ndio vinaamua bei za bidhaa pia.Tanzania watu wengi wanatumia gesi kama ulikua hujui
Aisee! Bonge la somo.Sasa tunaenda kwenye mstari mmoja, mimi sijaona PSA na sidhani kama iko tayari. Goverment ina share yake kwenye Gas baada ya kutoa gawio la cost recovery. Ile share ya serikali labda 20 or 25% ni yao wanaweza kutumia kwenye soko la ndani bila kuathiri share za muwekezaji. Mradi kila unapokuwa old share za serikali zinazidi hapo ni juu ya serikali wanataka Tsh au $, nchi yenye busara wata cover soko la ndani ili kuepuka kununua Gas nje lakini kwa kuwa sisi Gas supply ni private sector na bei duniani same wanaweza kuuza na kuacha Gas kwa watu binafsi sababu utakuwa ujinga serikali kuuza Gas ndani bei rahisi inakuwa kama unatoa ruzuku, utauza bei ya kimataifa.
Yale Yale ya Monopoly. Hawa watu ni ngumu sana kupambana nao. Ni vyema TU kuongea nao vizuri na kupata fair share.Mimi nadhani nia yako nzuri sana lakini uhalisia sio hivyo, haya makampuni wana monopolize hii kazi sio wajinga unaona mfano Iphone wanavyolinda tech yao basi hawa zaidi ya hapo. Utanunua kila kitu kutoka kwao miaka na miaka siku umenunua parts kesho wanakwambia hatutengenezi tena hiyo kuna toleo jipya nunua, utajikuta maisha yako yote unagharamia mradi. TPDC hawana uwezo, serikali itakuwa ujinga kuingiza pesa huko japo najuwa hawana hata wakitaka. Nchi tunakusanya Trillion 2 sijui kwa mwezi ndio tukajenge LNG plant.
Inaendelea...Mkuu acha kuvuta Skanka! Ushauri tu.