Jibu unalo unazunguka zunguka km juha..km ttaendelea na ujinga wa kupeana zamu za urais eti wakristo na waislamu..sahau maendeleo, mtasogea miaka 5 akija mwingine mnarudi nyuma mara 2 za ya mlivyosogea mbele..mfano wa kweli, mradi wa maji ziwa Victoria ulianza awamu ya 3 maji yakafika kahama na shinyanga..awamu ya 4 miaka 10 maji hata nzega tu hayakufika, awamu ya 5 ndani ya miaka 5 maji yakafika tabora na igunga..leo hii toka wamu wanayoiita ya 6 ianze hata tu kutaja mradi wa maji ziwa Victoria huwezi kusikia..eti mji mkuu Dodoma utatumia maji ya visima (borehole) unajenga uwanja wa ndege wa kimataifa wakati uhakika wa maji dodoma hakuna..serikali inakuwa km imejaza majuha ambao akili yao ni Pesa tu mifukoni mwao!..naamini awamu ya 5 ingeendelea sasa hivi dodoma wangekuwa wanatumia maji ya ziwa Victoria!
Ni hivi, yapo mataifa ya nje ymetufanya sisi soko kupitia imani..hii gesi tuliyo nayo tukiitumia hata 50% tu ya inavyopaswa hao tunaonunua mafuta na LPG kutoka kwao labda watakufa..hivyo ili waishi inabidi tuendelee kuwa wateja wa mafuta yao! Maji ya Victoria tukiyafikisha dodoma hao ambao mto nile umeshia kwao watakufa hivyo..tutumie maji ya visima ili wao waishi..UMEELEWA??