Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi ikiagiza mafuta kwa mabilioni ya Fedha za Kigeni, Nigeria yaamuru magari yawekwe mfumo wa gesi

Tanzania wataalam wetu wengi wameacha taaluma zao wameingia kuishabikia CCM. Upumbavu mtupu
 
Hapana
Hizo ndo sababu tunazotumia na zinatufanya kila siku tuahindwe kufanya maamuzi makubwa na tuzidi kuwa nyuma

Kuna taarifa za wawekezaji kuja kujenga Plants za Gesi zenye gharama ndogo ila wanakataliwa kwa kuwekewa masharti ya kijinga.

Pia kama tungekuwa serious tusingeshindwa kuwapa TPDC hizo fedha au mitaji wakafanya hiyo miradi hata kwa njia ya PPP. Sasa hizo PPP anazosema kafulila kila siku kwa nini zisifanye kazi kwenye miradi ya maana ya namna hii yenye lengo la kutukomboa kweli kiuchumi na kupunguza gharama za maisha kwa wananchi?
Mimi nadhani nia yako nzuri sana lakini uhalisia sio hivyo, haya makampuni wana monopolize hii kazi sio wajinga unaona mfano Iphone wanavyolinda tech yao basi hawa zaidi ya hapo. Utanunua kila kitu kutoka kwao miaka na miaka siku umenunua parts kesho wanakwambia hatutengenezi tena hiyo kuna toleo jipya nunua, utajikuta maisha yako yote unagharamia mradi. TPDC hawana uwezo, serikali itakuwa ujinga kuingiza pesa huko japo najuwa hawana hata wakitaka. Nchi tunakusanya Trillion 2 sijui kwa mwezi ndio tukajenge LNG plant.
 
TPDC ile tipper sijui ndio Puma kuongoza tu walichemka wizi mtupu. Hatuwezi na hasa tabia zetu. Nipe mradi mmoja Tanzania tuliwezeshwa tukaweza mmoja tu. Tukifanya mchezo Air Tanzania tutauwa, SGR tutauwa.....
 
Mimi nadhani nia yako nzuri sana lakini uhalisia sio hivyo, haya makampuni wana monopolize hii kazi sio wajinga unaona mfano Iphone wanavyolinda tech yao basi hawa zaidi ya hapo. Utanunua kila kitu kutoka kwao miaka na miaka siku umenunua parts kesho wanakwambia hatutengenezi tena hiyo kuna toleo jipya nunua, utajikuta maisha yako yote unagharamia mradi. TPDC hawana uwezo, serikali itakuwa ujinga kuingiza pesa huko japo najuwa hawana hata wakitaka. Nchi tunakusanya Trillion 2 sijui kwa mwezi ndio tukajenge LNG plant.
Hapana! Nakataa

Tumewezaje kujenga Nyerere Hydro Dam? Tumewezaje kujenga SGR saivi tunaingia Kigoma?

Ni akili na kufanya maamuzi tu!
Kwa faida ya matumizi ya gesi kiuchumi hasa nchini mwetu ni ujuha kusema hatuna fedha za kufanya huo mradi. Pia tunashindwa kufanya kwa PPP?

Alafu lile bomba la gesi la Mtwara to Dar lina faida gani? Kama tulianza kufanya kwa nini tulishindwa kuendelea?
 
Hapana
Hizo ndo sababu tunazotumia na zinatufanya kila siku tuahindwe kufanya maamuzi makubwa na tuzidi kuwa nyuma

Kuna taarifa za wawekezaji kuja kujenga Plants za Gesi zenye gharama ndogo ila wanakataliwa kwa kuwekewa masharti ya kijinga.

Pia kama tungekuwa serious tusingeshindwa kuwapa TPDC hizo fedha au mitaji wakafanya hiyo miradi hata kwa njia ya PPP. Sasa hizo PPP anazosema kafulila kila siku kwa nini zisifanye kazi kwenye miradi ya maana ya namna hii yenye lengo la kutukomboa kweli kiuchumi na kupunguza gharama za maisha kwa wananchi?
Viwanda vya serikali tumeuwa kimoja baada ya kimoja lakini mbona private wanakuwa kila siku hawa kina Bakhresa, Mo na wengi tu. Hii Azami ukisema leo serikali inaichukuwa 100% basi baada ya mwaka utauza majengo yote.
 
Hapana! Nakataa

Tumewezaje kujenga Nyerere Hydro Dam? Tumewezaje kujenga SGR saivi tunaingia Kigoma?

Ni akili na kufanya maamuzi tu!
Kwa faida ya matumizi ya gesi kiuchumi hasa nchini mwetu ni ujuha kusema hatuna fedha za kufanya huo mradi. Pia tunashindwa kufanya kwa PPP?

Alafu lile bomba la gesi la Mtwara to Dar lina faida gani? Kama tulianza kufanya kwa nini tulishindwa kuendelea?
Hydro Dam wamejenga Arab contractors kutoka Egypt, pesa mkopo. SGR ni wazo letu pesa mkopo wamejenga wa Turkey na wachina. Sasa tuone kwenye uendeshaji hapo ndio utatujuwa uwezi wetu. Bomba la Gas kutoka Mtwara ilikuwa upigaji tu kama walikuwa serious wangejenga power station kubwa sana Mtwara Gas Turbine na umeme ukasafirishwa. wazo la kujenga pipe ndio hao TPDC upigani tu unaishia kusambaza vibomba masaki.
 
Point yako ni muhimu sana shida yetu PSA ikoje? Serikali inarudisha vipi uwekezaji cost recovery, ni kwenye share ya Gas sasa hiyo ni jukumu la serikali kawaida kama wana 25% basi wanwapa wawekezaji labda 5% kila wakiuza mzigo as cost recovery siku wakimaliza kurudisha slowly serikali inatakiwa kuwa na share kubwa kuliko muwekezaji katika life ya PSA.
Suala sio wingi wa shares suala ni namna unavyonegotiate a particular PSA

Unaweza mpa mwekezaji hata 70% shares ila ukamwambia moja ya sharti la mkataba huu ni matumizi ya gesi ndani ya nchi bila mimi kulipia chochote. We uza nje mie nipate sehemu ya mapato ya kodi.

Wewe utapata kodi ya mauzo lakini pia utastabilize uchumi wa ndani kwa kuhakikisha gharama za maisha ziko chini kwa sababu wananchi wako watakuwa wanatumia gesi kama chanzo cha nishati tena kwa bei rahisi sana.

Ni akili tu
 
Viwanda vya serikali tumeuwa kimoja baada ya kimoja lakini mbona private wanakuwa kila siku hawa kina Bakhresa, Mo na wengi tu. Hii Azami ukisema leo serikali inaichukuwa 100% basi baada ya mwaka utauza majengo yote.
Sie waafrika hatuwezi hayo mambo. Tuache sekta binafsi wafanye hayo
 
Kwani wanao jenga vituo vya kujaza gesi ni serikali au wafanya biashara?
Serikali haijakataza mtu kujenga vituo vya kujaza gesi wala haijakataza mtu kujenga karakana za kubadilisha magari ya petroli ili yatumie gesi.
Kuna watu wengi tu wamebadilisha magari yao yanatumia gesi. Nimepanda bajaji zinatumia gesi.
Kama una mtaji ni wewe tu kuamua kujenga kituo cha kujaza gesi au karakana ya kubadilisha magari ili yatumie gesi.
Inchi yetu inatakiwa iwe na mchanganyiko wa nishati bila kutegemea nishati moja ndio hicho serikali inachofanya na sio kulazimisha watu wote watumie gesi au mafuta kwenye magari.
Mwenye gari anatakiwa aamue yeye mwenyewe kutumia gesi au mafuta. Na mfanya biashara anatakiwa aamue mwenyewe kujenga kituo cha kujaza gesi au mafuta na sio kulazimishwa. Na hiyo ndio maana ya soko huria.
Hiyo taarifa ya nigeria haijasema magari yote yamebadilishwa bali huyo ni kiongozi fulani alikua akitoa taarifa ya utendaji kwenye upande wa gesi asilia.
 
Suala sio wingi wa shares suala ni namna unavyonegotiate a particular PSA

Unaweza mpa mwekezaji hata 70% shares ila ukamwambia moja ya sharti la mkataba huu ni matumizi ya gesi ndani ya nchi bila mimi kulipia chochote. We uza nje mie nipate sehemu ya mapato ya kodi.

Wewe utapata kodi ya mauzo lakini pia utastabilize uchumi wa ndani kwa kuhakikisha gharama za maisha ziko chini kwa sababu wananchi wako watakuwa wanatumia gesi kama chanzo cha nishati tena kwa bei rahisi sana.

Ni akili tu
Wewe mzalendo na nia yako nzuri lakini kiuhalisia haiwezi kuwa hivyo, kumbuka hawa ni wawekezaji sio charity. Gas ya ndani utasambaza share yako sio ya muwekezaji hakuna mtu atawekeza kwa hasara hakuna. Serikali itakuwa wajinga kama watauza Gas bei rahisi ndani itakuwa hasara. Tuseme share ta Gov wana 1 Mscf wakiuza nje watapata 1 B wakiuza ndani 500M wewe utafanya nini? ukiuza rahisi imekula kwako hiyo ni ruzuku ukienda kutaka mkopo mradi wanakwambia kwanza toa hiyo ruzuku ndio uje kuomba.
 
Kwani hatuwezi kuisambaza ndani katika hizo shares zetu? Options zote ni legit na zinawezekana kabisa
 
Suala la Vituo vya gesi hata Private Sector wanaweza kuanza kufanya, labda serikali ianzishe mfano wa kuagiza magari ambayo ni hybrid (hopefully hapo kodi zetu hatitumika maradufu kwa ma v8 yao kuwa custom made)

Cha ajabu zaidi kuna pesa za Nishati safi kama mikopo ila watu na Serikali bado wanapigia chapuo LPG na kugawa mitungi ya gesi wakati gesi inanunuliwa kutoka nje.... na zaidi ya Trilioni Nne eti ipo proposed kutengwa ili kutoa elimu ya Nishati safi wakati mpaka dakika hii vijijini Umeme ni rahisi kuliko gesi na mijini baada ya Bwawa kuisha wanaweza kushusha bei; Haiitaji kutoa Elimu wewe shusha bei ya umeme na anza kua assemble majiko ya umeme automatically watu watatumia umeme

Kila siku nasema.

Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi.

Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari yake na viwanda, Nigeria wameona watumie akili zao vizuri kwa kuagiza magari nchini humo kubadilishwa mfumo kutoka petrol kwenda kwenye gesi ambayo inapatikana kwa wingi kwao ili kuondoa utegemezi wa kuagiza mafuta kutoka nje na kuokoa fedha za kigeni.

Naionea huruma sana Tanzania yangu. Sijui lini tutapata Viongozi wenye akili watutoe hapa tulipo.

Yaani pamoja na kugundua gesi yote hiyo hadi leo kwa Dar tu tuna vituo vya kujaza gesi magari vizivyozidi 4. Alafu Viongozi wetu hawa kila siku wanatembeza bakuli kuomba fedha za miradi ya maendeleo nchini kwetu wakati tungeweza kuokoa fedha nyingi sana tunazotumia kuagiza mafuta kwa kutumia gesi yetu hii kwenye magari na viwanda.

Kweli bongo nyoso.

Wewe hujui kitu,Kati ya Tanzania na Nigeria kina nani Wana gesi kubwa na wanauza Nje ya Nchi?

Mwisho hakuna Cha kujifunza huko ,Tanzania ilishaanza kitambo sana 👇👇

View: https://x.com/dailynewstz/status/1855488402977648920?t=cqLFMQcdphISRpYhXFyL6w&s=19
 
Kwani hatuwezi kuisambaza ndani katika hizo shares zetu? Options zote ni legit na zinawezekana kabisa
Yes tunaweza kabisa lakini hakutakuwa na bei tofauti na hii ya sasa kwanini? bei ya nishati inaamuliwa na soko la dunia ukisema uuze kwa bei rahisi utakuwa ni kama unatoa ruzuku na huko hatuwezi kurudi tena. Ulisikia wakati ule watu wanapeleka mahindi Kenya hawataki kuuza hapa ni kwa sababu ya bei, serikali ilitaka kuzuia lakini mwisho wa siku ikashindwa.
 
Kwani hatuwezi kuisambaza ndani katika hizo shares zetu? Options zote ni legit na zinawezekana kabisa
Miwa si tunalima wenyewe lakini sukari ukileta toka Brazil ni rahisi kuliko sukari ya ndani hujiulizi kwanini?
 
Kama reli Tu tumejenga wenyewe halafu tunalialia tunahujumiwa huku Serikali ikimiliki vyombo vyote vya dola tunaweza kuwa na fikra hizo.

Tumeamua kuwa madalali wa uchumi wa races nyingine huku ndugu zetu wakifa masikini ilihali tunaweza kuwafanya Watanzania wote kuwa na uchumi mzuri kupitia resources hizi hizi tulizonazo.
Inashangaza hamjui kitu kuhusu Nchi yenu 😂😂😂👇👇

View: https://x.com/dailynewstz/status/1854418064533500323?t=YvCYj4tmicn-dphw2bp8XA&s=19
 
Kila siku nasema.

Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi.

Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari yake na viwanda, Nigeria wameona watumie akili zao vizuri kwa kuagiza magari nchini humo kubadilishwa mfumo kutoka petrol kwenda kwenye gesi ambayo inapatikana kwa wingi kwao ili kuondoa utegemezi wa kuagiza mafuta kutoka nje na kuokoa fedha za kigeni.

Naionea huruma sana Tanzania yangu. Sijui lini tutapata Viongozi wenye akili watutoe hapa tulipo.

Yaani pamoja na kugundua gesi yote hiyo hadi leo kwa Dar tu tuna vituo vya kujaza gesi magari vizivyozidi 4. Alafu Viongozi wetu hawa kila siku wanatembeza bakuli kuomba fedha za miradi ya maendeleo nchini kwetu wakati tungeweza kuokoa fedha nyingi sana tunazotumia kuagiza mafuta kwa kutumia gesi yetu hii kwenye magari na viwanda.

Kweli bongo nyoso.

Tanzania ilishaanza kitambo,usiripoke kabla ya kufanya Utafiti na kujiridhisha 👇👇

View: https://youtu.be/n6GjJts8kWE?si=YjzPe0Qhhu_4QujN
 
Kila siku nasema.

Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi.

Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari yake na viwanda, Nigeria wameona watumie akili zao vizuri kwa kuagiza magari nchini humo kubadilishwa mfumo kutoka petrol kwenda kwenye gesi ambayo inapatikana kwa wingi kwao ili kuondoa utegemezi wa kuagiza mafuta kutoka nje na kuokoa fedha za kigeni.

Naionea huruma sana Tanzania yangu. Sijui lini tutapata Viongozi wenye akili watutoe hapa tulipo.

Yaani pamoja na kugundua gesi yote hiyo hadi leo kwa Dar tu tuna vituo vya kujaza gesi magari vizivyozidi 4. Alafu Viongozi wetu hawa kila siku wanatembeza bakuli kuomba fedha za miradi ya maendeleo nchini kwetu wakati tungeweza kuokoa fedha nyingi sana tunazotumia kuagiza mafuta kwa kutumia gesi yetu hii kwenye magari na viwanda.

Kweli bongo nyoso.

Bongo hata hayo magari yakibadilishwa Bado bei ya gesi inaweza kuwa kubwa kwa madai kwamba tulishaiuza kwa wawekezaji. Tuliombiwa gesi ya mTwara ingepunguza bei ya umeme. Kiko wapi!?
 
Kwani hatuwezi kuisambaza ndani katika hizo shares zetu? Options zote ni legit na zinawezekana kabisa
Jibu unalo unazunguka zunguka km juha..km ttaendelea na ujinga wa kupeana zamu za urais eti wakristo na waislamu..sahau maendeleo, miradi km huu wa gesi na maji ya maziwa tuliyo nayo itaendelea kuwa ndoto sisi kutumia.. mtasogea miaka 5, akija mwingine mnarudi nyuma mara 2 ya mlivyosogea mbele..tizama mfano huu wa kweli..mradi wa maji ziwa Victoria ulianza awamu ya 3 maji yakafika kahama na shinyanga..awamu ya 4 miaka 10 maji hata nzega tu hayakufika, awamu ya 5 ndani ya miaka 5 maji yakafika tabora na igunga..leo hii toka awamu wanayoiita ya 6 ianze hata tu kutaja mradi wa maji ziwa Victoria huwezi kusikia..eti mji mkuu Dodoma utatumia maji ya visima (borehole) unajenga uwanja wa ndege wa kimataifa wakati uhakika wa maji dodoma hakuna..serikali inakuwa km imejaza majuha ambao akili yao ni Pesa tu mifukoni mwao!..naamini awamu ya 5 ingeendelea sasa hivi dodoma wangekuwa wanatumia maji ya ziwa Victoria!
Ni hivi, yapo mataifa ya nje ymetufanya sisi SOKO LAO kupitia imani..hii gesi tuliyo nayo tukiitumia hata 50% tu ya inavyopaswa hao tunaonunua mafuta na LPG kutoka kwao labda watakufa..hivyo ili waishi inabidi tuendelee kuwa wateja wa mafuta yao! Maji ya Victoria tukiyafikisha dodoma hao ambao mto nile umeshia kwao watakufa hivyo..tutumie maji ya visima ili wao waishi..UMEELEWA??
Km unadhani gesi itaondoa umasikini Tanzania, anza kwanza kumuondoa Rostam ahame nchi hii, pili simama hadharani waambie ccm habari ya zamu za urais mwisho, Rais atakuwa hata mpagani..then anza kuweka hiyo mipango ya matumizi ya gesi kwa nchi nzima!
 
Back
Top Bottom