GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake.
Taarifa: BBC Swahili
Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Taarifa yangu Binafsi ya Kuonya kuwa Watu wa TACAIDS na Mamlaka (Serikali) kupitia Muongo Mkuu' wake (KM) iache kufanya 'Propaganda' juu ya hili Janga kwa 'Kuwahadaa' Watanzania kuwa limepungua bali waseme tu Ukweli kuwa hali ni mbaya ila Sikueleweka na Nashukuru sasa Watu Wasio Wanafiki na wenye Akili wa UN wamesema kile kile nilichokiona na Kukisema.
Wengine akina GENTAMYCINE tuko sana na Jamii, tunatembea sana, tunajichanganya mno na pia ni Wadau Tukuka wa 'Mbunye' hivyo tukiwa tunasema Jambo hapa jueni kuwa tupo on the ground na tunaelewa nini Kinaendelea.
Wengine (hasa Sisi wenye Tatizo la Asili la Kuugua Pumu na tuna Damu ya Group O+) wala hatuko HATARINI kuathirika na VVU ila tunawaonea tu HURUMA Watanzania Wenzetu wengi ambao 24/7 Wanaambukizwa na Wanapukutika tu.