chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni.
Chama hakijatueleza nani alifanya uthamini wa jengo akapata thamani hiyo, nani katuuzia, fedha imelipwaje, na mkataba wa ununuzi uko wapi.
Chama chetu kimekuwa na kashfa ya kununua magari mabovu kwa Nia za panya.
Tunataka uwazi serikalini, lakini kwetu CDM Kuna kichaka kizito mno. Charity begins at home, if you come to equity, come with clean hands