Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Tunahangaika sana na Jeshi la Polisi kukimbizana na waarifu wanaofanya vitendo hivo.
Lakini Binafsi, Sina hakika sana kama Kuna Sheria na kanuni ambazo zinaenda Moja Kwa Moja KUMLINDA MTOTO. Inawezekana Kuna Sheria, ila naamini ni Sheria za kiujumla.
Dunia imebadilika sana, inaenda Kasi, Maendeleo ya Sayansi na teknolojia hatuwezi Kamwe kuyakimbia .
Leo hii Tunazungumzia nguvu ya ushawishi ya mitandao ya kijamii katika Ukuaji wa Kitabia, Akili, Hisia , Saikolojia ya Mtoto .
We must together support development of our communities in which children and adolescents regardless of their gender are well protected from all form of violence.
Serikali kupitia Waziri Gwajima, ni wakati Sasa wa kuleta rules and regulations , specifically kuwalinda watoto Dhidi ya ushawishi wa MITANDAONI Kwa Physical and mental health .
Watoto wadogo wanajinyonga, Je wamejifunzia wapi kujinyonga?. Watoto wadogo miaka 7 wanafanya Ngono, wamejifunzia wapi?
Watoto wadogo wanaingiliana kinyume na maumbile, wamejifunzia wapi ? Watoto wanaingia kwenye Mkumbo wa ushoga, haya yote wamejifunzia wapi??.
Dar es Salaam yote hiyo, Kuna mitandao ya watu wazima, wanaowatumikisha Watoto wadogo kwenye kucheza filamu za ngono, na Kisha video hizo zinauzwa, na kujiingizia vipato. Lakini Serikali ipo imetulia.
Wasanii wetu hawa, Wanajirekodi wanafanya Ngono Kisha wanaziuza Kwa bei kubwa, video zinaachiwa mitandao, watoto wetu wanazitazama lakini huwezi Kukuta Aslay anachukuliwa hatua. Zaidi ya yote anaonekana Shujaa anayejua kukata mauno.
Mtu Mmoja kwakua ni shoga, basi anaamua kutumia Mitandao Jamii kuupakaza ushoga wake, ( wao wanajificha kwenye mwamvuli wa Usanii), yaani Mtu Mmoja mpuuzi tu anakuja kuathiri mamilion ya watoto wetu, Serikali ipo imekaa kimyaaaa .
Nani alituroga?
This is Shame.
Waziri Gwajima wajibika ,una nafasi kubwa ya kulinda Kizazi hiki Kwa manufaa ya kesho , Peleka Sheria Bungeni za kuwalinda watoto Dhidi ya mauzui yoyote Ovu yanayorushwa Mitandaoni.
Sambamba na Hilo, Serikali iweze kudhibiti matumizi ya Mitandao Kwa watoto, walau watoto wapatae Masaa Kadhaa tu ya kutumia Mitandao na sio kama ilivyo sasa
Soma pia: Viongozi wa TikTok, X, Meta, Snap na Discord wakaangwa vilivyo kushindwa kulinda watoto mtandaoni