Wakati tunawapongeza Kenya tuwalaani pia wasaliti wetu waliokataa katiba inayopendekezwa

Shuka mgongoni mwa polisi tupate kuongea.

Mkuu msome mheshiwa Pohamba vyema. Lako na lake ni moja. Tofauti ni namna ya kuipata suala ni fasihi tu mkuu. Ila yu ana hoja nzito sana. Juu juu huwezi kumwona zama umsome vyema mkuu:

Asema Pohamba:

Kitu kikubwa kilichoondolewa ni Serikal tatu lakin Mengine Mengi yalikuwepo sema kipindi kule Watu waliwekeza zaid kwny Chuki kwa Rais Kikwete wakaona wamkomoe ili Hata Kama Katiba kupita Basi ipitishwe na Rais ajae ( hawakujua Kama atakuwa Huyu JPM)

Jk aliwaomba Basi ipigwe kura ya Maoni ili Raia ajae abaki na kazi ya kusaini tu wakakataa na kudai hata kura ya Maoni itapigwa baada ya Jk kuondoka !

1) Madaraka ya Rais yalipunguzwa
2) Tume ya Uchaguzi ingekuwa huru
3) Matokeo yote ya Uchaguzi yangewezekana kuhojiwa Mahakamani
Siasa ni mbinu kwanini wasingekubali kupata Katiba Mpya then wakishinda wataongeza Hilo la Serikal 3
Wangejua za mbinu ya Raila Odinga alie kibali kuijiunga na KANU ya Daniel Arap Moi ili apate fursa ya kuivuruga na akafanikiwa Nyie mnaendesha Sisa za Kishamba

=======
Kupambana na hawa jamaa yataka mipango na mikakati ambayo yote si lazima iwe juu ya meza. Hiyo ndiyo hoja ya huyu mheshimiwa vinginevyo tutakuwa wasubiria dodo kwenye mnazi.
 
Shuka mgongoni mwa polisi tupate kuongea.

Kenya, Zambia, Malawi hawakusubiri washuke mgongoni waliwashusha Nyie mnashindwa nini na Mnajiita Makamanda wakat wenzenu waliweza japo sio Makamanda
 
Kenya, Zambia, Malawi hawakusubiri washuke mgongoni waliwashusha Nyie mnashindwa nini na Mnajiita Makamanda wakat wenzenu waliweza japo sio Makamanda
He who fight and run, will live to fight another day.
So better must come, by the bullet or the ballot!
 
Kenya, Zambia, Malawi hawakusubiri washuke mgongoni waliwashusha Nyie mnashindwa nini na Mnajiita Makamanda wakat wenzenu waliweza japo sio Makamanda
Huu ndio uchochezi OG.
 
Yani umenena kiongozi tatizo la wanasiasa wa nchii imekua ya hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…