Wakati tunawapongeza Kenya tuwalaani pia wasaliti wetu waliokataa katiba inayopendekezwa

Wakati tunawapongeza Kenya tuwalaani pia wasaliti wetu waliokataa katiba inayopendekezwa

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
IMG-20170901-WA0112.jpg
IMG-20170901-WA0112.jpg
IMG-20170901-WA0113.jpg
 
Lipumba aliongoza Malofa kususia Katiba Pendekezwa yenye Sheria ya kuhoji ushindi wa Rais Uchaguzin na kupunguza Madaraka ya Rais
'Mtaka vyote kwa Pupa hukosa vyote'
 
Mkuu tatizo la nchi yetu ni uwepo wa idadi kubwa ya WAJINGA. Wanasiasa wanayo bahati ya kufanya SIASA katika taifa hili. Ukiangalia kwa makini,ELIMU yetu inachezewa kwa manufaa ya SIASA,wanajua kizazi cha WAJINGA kikielimika itakuwa balaa kwao. Sioni dalili za katiba mpya yenye masuala yenye afya kwa taifa ikipatikana bila kuwa na taifa la watu walio elimika na kujua NAFASI ZAO katika mustakbali wa taifa.

BY KADA...
 
Utamuachaje hapo Mamvi na Kibogoyo wa maegesho.
Hapo mpaka mzee kingunge yumo, mzee sumaye yumo, Lowassa na wengine wengi ila kwa sasa wamefunguka macho wakipewa nafasi tena hawawezi kurudia makosa tena
 
Wote hao ni wahusika wa kushindwa kupatikana katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi.

Utamuachaje hapo Mamvi na Kibogoyo wa maegesho.
 
thread bora kwa september ni hii.....nguruwe wa lumumba sidhani kama watakuja kuchangia
 
Aliyeanza kuikakaa rasimu ya Warioba ni fisadi Kikwete katika hotuba yake Bungeni.

Akafuatia Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Edward Lowassa!

Tatizo lenu hamjui Siasa na Hilo ni kosa lenu

Unapata Mtawala kwa Utayari wake anakubali hoja ya kubadili Katiba na kwny Hiyo Katiba Mpya anakubaliana na hoja za Wapinzani kwa zaid ya 80% nae kwa upande wake anakataa only 20% ya Mapendekezo badala ya kuona hiyo ni Fursa Eti Mnasusa kumkomoa Mtawala!

Upumbavu wa Kisomi ni kuingia kwny Dialogue ya aina yoyote na kuamini hoja zako zote zitapita kwa 100% Kama vile upande wa pili kuna Vivuli
 
Lipumba aliongoza Malofa kususia Katiba Pendekezwa yenye Sheria ya kuhoji ushindi wa Rais Uchaguzin na kupunguza Madaraka ya Rais
'Mtaka vyote kwa Pupa hukosa vyote'
Pandikizi la ccm
 
Mkuu tatizo la nchi yetu ni uwepo wa idadi kubwa ya WAJINGA. Wanasiasa wanayo bahati ya kufanya SIASA katika taifa hili. Ukiangalia kwa makini,ELIMU yetu inachezewa kwa manufaa ya SIASA,wanajua kizazi cha WAJINGA kikielimika itakuwa balaa kwao. Sioni dalili za katiba mpya yenye masuala yenye afya kwa taifa ikipatikana bila kuwa na taifa la watu walio elimika na kujua NAFASI ZAO katika mustakbali wa taifa.

BY KADA...
Wengi wao ni ccm
 
Back
Top Bottom