Pandikizi la ccm
Malizia aliewaongoza Chadema kususia Katiba Mpya ili kumkomoa Jakaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pandikizi la ccm
Baada ya ccm kuamua kujiandikia katiba wanayoipenda waoMalizia aliewaongoza Chadema kususia Katiba Mpya ili kumkomoa Jakaya
Na ndio maana Mungu kamuondoa.Mtu wa kwanza kumlaani hayupo duniani kwa hiyo tutailaani ccm na wabunge wake
Akafuatia Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Edward Lowassa!
Tatizo lenu hamjui Siasa na Hilo ni kosa lenu
Unapata Mtawala kwa Utayari wake anakubali hoja ya kubadili Katiba na kwny Hiyo Katiba Mpya anakubaliana na hoja za Wapinzani kwa zaid ya 80% nae kwa upande wake anakataa only 20% ya Mapendekezo badala ya kuona hiyo ni Fursa Eti Mnasusa kumkomoa Mtawala!
Upumbavu wa Kisomi ni kuingia kwny Dialogue ya aina yoyote na kuamini hoja zako zote zitapita kwa 100% Kama vile upande wa pili kuna Vivuli
Maanvi alikuwa spika?Utamuachaje hapo Mamvi na Kibogoyo wa maegesho.
Andika 1,2,3 ili nijue kama ni mtu na siyo ghost au robot.
Kumbe mtu GizaAndika 1,2,3 ili nijue kama ni mtu na siyo ghost au robot.
Wewe ni wale wapumbavu wa lumumba aliyempiga makofi Warioba ni nani na hakuna hata CCM mmoja alyempa pole!?
Usitake kuudanganya umma wa Watanzania kuhusu kuchakachuliwa kwa rasimu ya Warioba kwa 100% na hata Warioba mwenyewe na Wajumbe wengine kuja juu.
Acha kuandika uzushi humu kama wengine hatujui yaliyojiri. Na huyo fisadi na mimi wapi na wapi?
Wapumbavu ni wale waliokataa Tume huru ya Uchaguzi pamoja na kuhoji Ushindi wa Urais Madarakani mpaka mambo yote yawepo wakati Tume huru ingewawezesha kushika Dola na kurekebisha hayo wanayotaka Kama kweli Tume huru ndio ilikuwa Kikwazo
Huna Haja ya kutoa Matusi!We jamaa ni muongo wa kutupa! Kisa tu upate buku 7 zako! Kikwete alidiriki kuivunja tume ya Warioba kabla haijamaliza kazi yake ya kutoa tafsiri mbali mbali za vipengele muhimu kwenye Bunge la katiba na hata magari waliyopewa na Serikali wakanyang'anywa katika mazingira ya kutatanisha na fisadi Kikwete ili wasiwe na uhuru wa kupinga hoja zake kuhusu rasimu ya Warioba au za yeyote yule katika Bunge la katiba.
Uache kuleta pumba zako humu za kuonyesha ujuha wako hadharani kuhusu rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi. Peleka kule kwa wapumbavu wenzio mtaa wa Lumumba.
Mkuu katiba pendekezwa ilikuwa na mambo mengi zaidi ya hili moja la kuhusu kupinga matokeo. Yalikuwamo mambo mengi mle ambayo yalikuwa yamechakachuliwa tokea katika ya mwanzo katiba ya Warioba.
Linganisha katiba pendekezwa na katiba ya Warioba kujiridhisha kwa nini ilikuwa muhimu kuweka mpira kwapani kuonyesha kutoridhishwa na uchakachuaji wa katiba ya wananchi.
Huna Haja ya kutoa Matusi!
Unachopaswa kuelewa ni kuwa Wapinzani wanatamani ile Katiba waliyoisusia ndio ingepita kwa kuwa ingepunguza Mamlaka ya Rais Magufuli kuwashughulikia na pia wangekuwa na Tume huru ya Uchaguzi na ule Uchaguzi 2015 ambao 'kura zenu ziliibiwa' mngeweza kuhoji Mahakamani!
Ndio Basi Tena akili zenu zote mkaziweka kwny Mfuko na huo Mfuko akabidhiwa Ibrahim Lipumba akawatoa Nje ya Bunge
Kitu kikubwa kilichoondolewa ni Serikal tatu lakin Mengine Mengi yalikuwepo sema kipindi kule Watu waliwekeza zaid kwny Chuki kwa Rais Kikwete wakaona wamkomoe ili Hata Kama Katiba kupita Basi ipitishwe na Rais ajae ( hawakujua Kama atakuwa Huyu JPM)
Jk aliwaomba Basi ipigwe kura ya Maoni ili Raia ajae abaki na kazi ya kusaini tu wakakataa na kudai hata kura ya Maoni itapigwa baada ya Jk kuondoka !
1) Madaraka ya Rais yalipunguzwa
2) Tume ya Uchaguzi ingekuwa huru
3) Matokeo yote ya Uchaguzi yangewezekana kuhojiwa Mahakamani
Siasa ni mbinu kwanini wasingekubali kupata Katiba Mpya then wakishinda wataongeza Hilo la Serikal 3
Wangejua za mbinu ya Raila Odinga alie kibali kuijiunga na KANU ya Daniel Arap Moi ili apate fursa ya kuivuruga na akafanikiwa Nyie mnaendesha Sisa za Kishamba
Katiba yetu ni ile rasimu iliyoratibiwa wa jaji warioba, sio ile ya ccm.Lipumba aliongoza Malofa kususia Katiba Pendekezwa yenye Sheria ya kuhoji ushindi wa Rais Uchaguzin na kupunguza Madaraka ya Rais
'Mtaka vyote kwa Pupa hukosa vyote'
Katiba yetu ni ile rasimu iliyoratibiwa wa jaji warioba, sio ile ya ccm.
Shuka mgongoni mwa polisi tupate kuongea.Endeleeni kusubiri dodo kwny mnazi