Wakati Tundu Lissu ameenda kujiliza kwa Beberu Norway, 4R za Rais Samia zavuka boda na kutikisa Geneva-Uswisi.

Wakati Tundu Lissu ameenda kujiliza kwa Beberu Norway, 4R za Rais Samia zavuka boda na kutikisa Geneva-Uswisi.

Acha Ujinga wewe hakuna mtu ataamini 4R za Samia wakati serikali yake imeshindwa kusimamia Mwendokasi tu.
Serikali ya nani ambayo iliwahi simamia Mwendokasi Kwa faida?

4R Hadi Ubeberuni mnakojiliza Liza 😂😂
 
4Rs tumevuka boda Hadi Ubeberuni wakati kibaraka Lisu akijiliza Kwa Norway kuhusu hoja muflisi ya No reform No election.

View: https://www.instagram.com/p/DGf2OvVM7cn/?igsh=MThneDFicHQxODI2cw==

My Take
Hao Mabeberu wanajali maslahi Yao kulikoaslahi ya kina Lisu.

View: https://x.com/MwananchiNews/status/1894374836509757463?t=uMyaBSX3MGe5Zxcrjj7kcg&s=19


Wasira naye juzi alikuwa na mabeberu wa Uingereza. ChoiceVariable wewe Dada jitahidini kuandika vitu vya maana mnaonekana kama wajinga jinga
 
Serikali ya nani ambayo iliwahi simamia Mwendokasi Kwa faida?

4R Hadi Ubeberuni mnakojiliza Liza 😂😂
Samia amekuta mwendokasi Unafanya Kazi vzuri tu.

Shida ukakaa mbwinde huko Hujui mambo yanaendaje town + uchawa hali inazidi kuwa hovyo.
 
Samia amekuta mwendokasi Unafanya Kazi vzuri tu.

Shida ukakaa mbwinde huko Hujui mambo yanaendaje town + uchawa hali inazidi kuwa hovyo.
Leta hapa takwimu za Mwendokasi kufanya kazi vizuri japo taarifa moja tuu ya faida.
 
Leta hapa takwimu za Mwendokasi kufanya kazi vizuri japo taarifa moja tuu ya faida.
Eeh Kubishana na chawa wa mikoani shida aisee,

Shirika lilikua na Mabasi 144 yanayofanya kazi Mwaka 2021 sasa yamebaki 40 tu yanayo fanya kazi mengine yamekufa.

Hii ni faida Au hasara
 
Hakuwafuata kama Kibaraka Lisu
Dada wewe ni mjinga jinga Norway wanatusaidia kujenga shule za watoto wetu, hospitali na Raisi Samia alienda Norway kuomba msaada kwa malkia wao leo unawaita Mabeberu kwasababu wanapenda haki !. China ambao wamejenga chuo cha CCM hawaiti mabeberu wakati serikali inatumia pesa za mikopo na kodi kuwalipa wachina huo ni ujinga wa hali ya juu. Samia atawashangaa sana wamewatuma kuwa Machawa mnakuja huku kuwatukana wadhamini wa nchi yetu

Mabeberu ni wanyonjaji hawa wamechukuwa nini TZ

With Norway's contribution of $15 million, the project is designed to foster an enabling environment that attracts private investment and smooths out regulatory frameworks, facilitating a broader rollout of the Agricultural Growth Corridors of Tanzania (AGCOT) initiative.



Development Cooperation

Study exchange between Norway and Tanzania has been extensive and several thousand Tanzanians, including some of the country’s decision makers, have their education from Norway. A large number of Norwegian institutions and organizations have a long history in Tanzania.

Today, Tanzania is one of Norway's 10 partner countries for long term development. Norway supports Tanzania's goal to become a middle-income country less dependent of aid. Norway‘s priority sectors are particularly important for achieving this goal, and these are sectors where Norwegian expertise is in demand. The priority sectors are private sector development, renewable energy, petroleum management, increased revenue mobilization through improved fiscal and financial management, and environment and climate change.

Tanzania is also major beneficiary from multilateral assistance and global funds, including health, education and infrastructure, to which Norway is a major contributor. Tanzania is host to about 300,000 refugees from Burundi and the DRC, and is therefore also the recipient of Norwegian humanitarian aid.

Norway will contribute USD 7 million (approximately Sh. 16 billion) to the UN to support the implementation of the Kigoma Joint Programme (KJP) and the National Plan of Action to Combat Violence Against Women and Children
 
Back
Top Bottom