Wakati Tundu Lissu ameenda kujiliza kwa Beberu Norway, 4R za Rais Samia zavuka boda na kutikisa Geneva-Uswisi.

Wakati Tundu Lissu ameenda kujiliza kwa Beberu Norway, 4R za Rais Samia zavuka boda na kutikisa Geneva-Uswisi.

Dada wewe ni mjinga jinga Norway wanatusaidia kujenga shule za watoto wetu, hospitali na Raisi Samia alienda Norway kuomba msaada kwa malkia wao leo unawaita Mabeberu kwasababu wanapenda haki !. China ambao wamejenga chuo cha CCM hawaiti mabeberu wakati serikali inatumia pesa za mikopo na kodi kuwalipa wachina huo ni ujinga wa hali ya juu. Samia atawashangaa sana wamewatuma kuwa Machawa mnakuja huku kuwatukana wadhamini wa nchi yetu
Wewe kubwa la manyumbu ni mbumbumbu mkubwa,hao hawana Cha kuwasaidia.

Mshindwe kushawishi Watanzania mtegemee Mabeberu wawasaidie? 😂😂

Itoshe kusema hamna akili
 
Wewe kubwa la manyumbu ni mbumbumbu mkubwa,hao hawana Cha kuwasaidia.

Mshindwe kushawishi Watanzania mtegemee Mabeberu wawasaidie? 😂😂

Itoshe kusema hamna akili

Dada kampanulie mzee wasira tuache tuendelee kuongelea mambo ya maana
 
4Rs tumevuka boda Hadi Ubeberuni wakati kibaraka Lisu akijiliza Kwa Norway kuhusu hoja muflisi ya No reform No election.

View: https://www.instagram.com/p/DGf2OvVM7cn/?igsh=MThneDFicHQxODI2cw==

My Take
Hao Mabeberu wanajali maslahi Yao kulikoaslahi ya kina Lisu.

View: https://www.instagram.com/p/DGf7BFto-N8/?igsh=enMxejI1ejR0c3Uw

Huko Geneva ndiyo kwenye mabeberu yanayonusa , kunyanyua kichwa na kukenua meno ya mbele. Kama hayo mabeberu yanapokea positively kitu kutoka kutoka kwa serikali inayoonekana mchana kweupe ikikiuka haki za binadmu basi ujue kuna vitu wamepewa wavile.
 
Huna swaga
 
Machadema wakiongeza chuki Kuna shida gani ? Lini waliwahi punguza ? 🤪🤪
Hii mtu yeyote anaeichukia Serikali ya CCM automatically anakuwa CHADEMA, kwahiyo CHADEMA imekuwa na wanachama wengi kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom