ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Wewe kubwa la manyumbu ni mbumbumbu mkubwa,hao hawana Cha kuwasaidia.Dada wewe ni mjinga jinga Norway wanatusaidia kujenga shule za watoto wetu, hospitali na Raisi Samia alienda Norway kuomba msaada kwa malkia wao leo unawaita Mabeberu kwasababu wanapenda haki !. China ambao wamejenga chuo cha CCM hawaiti mabeberu wakati serikali inatumia pesa za mikopo na kodi kuwalipa wachina huo ni ujinga wa hali ya juu. Samia atawashangaa sana wamewatuma kuwa Machawa mnakuja huku kuwatukana wadhamini wa nchi yetu
Wewe kubwa la manyumbu ni mbumbumbu mkubwa,hao hawana Cha kuwasaidia.
Mshindwe kushawishi Watanzania mtegemee Mabeberu wawasaidie? 😂😂
Itoshe kusema hamna akili
Hamna akili nyie bana na mtajiliza hivyo hivyo na kibaraka hapati kitu 😂😂Dada kampanulie mzee wasira tuache tuendelee kuongelea mambo ya maana
Hata huko alikoenda Samia ni kwa mabeberu siyo Afrika kule!Wasira naye juzi alikuwa na mabeberu wa Uingereza. ChoiceVariable wewe Dada jitahidini kuandika vitu vya maana mnaonekana kama wajinga jinga
Jidanganyeni tu mlisema hivyo kwa miaka 15 sasa. Kapanue kwa Wasira. Wewe utakuja baadae watakutema sisi tupo hapa.Hamna akili nyie bana na mtajiliza hivyo hivyo na kibaraka hapati kitu 😂😂
Huko Geneva ndiyo kwenye mabeberu yanayonusa , kunyanyua kichwa na kukenua meno ya mbele. Kama hayo mabeberu yanapokea positively kitu kutoka kutoka kwa serikali inayoonekana mchana kweupe ikikiuka haki za binadmu basi ujue kuna vitu wamepewa wavile.4Rs tumevuka boda Hadi Ubeberuni wakati kibaraka Lisu akijiliza Kwa Norway kuhusu hoja muflisi ya No reform No election.
View: https://www.instagram.com/p/DGf2OvVM7cn/?igsh=MThneDFicHQxODI2cw==
My Take
Hao Mabeberu wanajali maslahi Yao kulikoaslahi ya kina Lisu.
View: https://www.instagram.com/p/DGf7BFto-N8/?igsh=enMxejI1ejR0c3Uw
4Rs tumevuka boda Hadi Ubeberuni wakati kibaraka Lisu akijiliza Kwa Norway kuhusu hoja muflisi ya No reform No election.
View: https://www.instagram.com/p/DGf2OvVM7cn/?igsh=MThneDFicHQxODI2cw==
My Take
Hao Mabeberu wanajali maslahi Yao kulikoaslahi ya kina Lisu.
View: https://www.instagram.com/p/DGf7BFto-N8/?igsh=enMxejI1ejR0c3Uw
Huna swagaHuko Geneva ndiyo kwenye mabeberu yanayonusa , kunyanyua kichwa na kukenua meno ya mbele. Kama hayo mabeberu yanapokea positively kitu kutoka kutoka kwa serikali inayoonekana mchana kweupe ikikiuka haki za binadmu basi ujue kuna vitu wamepewa wavile.
Hii mtu yeyote anaeichukia Serikali ya CCM automatically anakuwa CHADEMA, kwahiyo CHADEMA imekuwa na wanachama wengi kiasi hicho.Machadema wakiongeza chuki Kuna shida gani ? Lini waliwahi punguza ? 🤪🤪
NdioHii mtu yeyote anaeichukia Serikali ya CCM automatically anakuwa CHADEMA, kwahiyo CHADEMA imekuwa na wanachama wengi kiasi hicho.