Wakati Uganda wamefanya maamuzi ya kupitisha mafuta ya mwanzo Kenya, kuna hili kuhusu Total nawakumbushia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu mchezo hautaki hasira, mwendo wa unyang'au kimya kimya...

Kampuni ya Total ambayo ilijitolea kugharamia bomba la mafuta la kupitia Tanzania, pia ilifanya maamuzi ya kuhusika kwenye kugharamia na la Kenya.

Leo hii Waganda wameandaa kupitiza malori 100 Kenya yakiwa yemebeba mafuta.

Pia ikumbukwe hao hao Total wananunua hisa kwenye vitalu vyetu vya mafuta. Taarifa za manunuzi hii hapa

UPDATE 2-Total to buy shares in Kenyan oil blocks from A.P....

---------------------------------------------------------------
French firm Total SA has committed to invest in the Lokichar-Lamu pipeline, boosting Kenya’s efforts to develop its own oil fields and realise its ambition of joining the league of oil exporters.
The deal was brokered in Nairobi on Tuesday during a meeting between President Uhuru Kenyatta and Total’s executive committee member and president for marketing and services Momar Nguer.

State House spokesperson Manoah Esipisu said the French firm has been cleared to buy shares in Maersk Oil blocks in Kenya after it committed to developing the Lokichar to Lamu oil pipeline as the only evacuation route for Kenya’s crude oil.

“Following Total SA’s commitment, the government has consented to a proposed acquisition of the issued and to-be-issued share capital of Maersk Oil Exploration International (Mogas Kenya) in respect of Blocks 10BA, 10BB and 13T,” said Mr Esipisu.
The deal represents an about-turn almost two years after Total ditched the Kenyan route in favour of the Uganda-Tanzania option for evacuation of crude oil from East Africa’s oil fields.
It also presents the East African region with the prospect of having two crude oil pipelines, one running from Kenya’s Turkana oil fields to Lamu Port and the other from Western Uganda to Tanzania.
Uganda and Kenya are the only countries with crude oil in the region. Uganda’s proven recoverable reserves are estimated at two billion barrels while Kenya’s is at 750 million barrels.

“Kenya is optimistic that the entry of Total into the Joint Venture will strengthen the financial resources and technical competence that is required to accelerate the development of the resources in these blocks,” said Mr Esipisu.

“President Kenyatta said his administration would accord support to Mogas Kenya and Total SA, and indeed other private sector players that are keen to develop the country’s resources with the goal of delivering shared prosperity,” he said.

In early 2016, Total opted for the Uganda- Tanzania route after it expressed concern over the security of the infrastructure running through the ‘wild’ North and North Eastern Kenya.

Total was reportedly influenced by a security report compiled by an unnamed non-governmental organisation.

The report is said to have warned of high risk of attacks by Al shabaab terrorists within the Kenyan territory, prompting Total to opt out.

Faced with the prospect of an endless wait, Uganda later decided to build its crude oil pipeline through Tanzania’s Tanga port, leaving Kenya to its own devices.

READ: Residents oppose oil excavation before they are paid off

Uganda and Tanzania launched construction of the 1,445-kilometre crude oil pipeline last year with Total as one of the three participating private firms.

Officials estimate that the $3.35 billion project could be ready by end of next year.

Kenya, has on the other hand been toying with a short term plan to have its Turkana crude oil transported by trucks and standard gauge railway to Changamwe jetty before shipping to international markets.

Kenya had initially set itself an ambitious target of getting its crude to the international market before August 8, 2017 General Election but later postponed the plan indefinitely over logistical challenges.

Total strikes deal to build Kenya’s Lamu crude oil pipeline -
 
hehehe,utafanya jamaa wajinyie😀
 
A wise man once said never count your chicks before they hatch. Am yet to see that pipeline from Hoima to a certain LDC village...🙂🙂🙂
 
Umesikia leo uncle Magu alivyowapiga kijembe katika hutuba yake ya kuweka jiwe la msingi phase 2 ya SRG huko Dodoma?, alisema" Reli hii tunajenga wenyewe kwa pesa yetu, haijawahi kutokea hapa Africa, wengine wamejaribu lakini wameishia kujenga reli ya hovyo sana, tena kwa mkopo".

Bila shaka alikua akimaanisha Ethiopia, endeleeni kuweweseka na Bomba la Uganda, hiyo imeshatoka, kama ni msiba ni bora mkamaliza matanga na mrudi kuchapa kazi, mtaendelea kulalamika hadi lini?, there is life after this, please accept and move on.
 
Hata jiwe la pipeline liliwekwa na hata sasa nothing to show for it so what makes you think this is any different Boy?
 
Tunaelewa ni kwa kiasi gani mtu aliyepoteza mtoto wake anavyojisikia, huwa anapoteza kabisa uwezo wa kufikiria mambo kwa kutumia busara, akisikia kwamba kuna mtu anaweza kuiombea hiyo maiti na akafufuka huwa ajiulizi mara mbili, hata kama ni professor wa medicine atakwenda kuombea hiyo maiti ili afufuke.

Chochote kinachowapa matumaini, ni vizuri mkisikilize na kukiamini kama hatua ya kufikia smooth landing, poleni sana katika hili, ila maisha ni lazima yaendelee, msipoteze muda mwingi sana, ameshakufa na hawezi kurudi tena, japo mlimpenda sana huyo mtoto wenu(Uganda pipeline)
 
Bila picha yote ni porojo...unaandika maneno mengi kama mwanamke amekasirika but you welcome to cry all over you got A Kenyan shoulder to cry on boy.
 
Umesikia leo uncle Magu alivyowapiga kijembe katika hutuba yake ya kuweka jiwe la msingi phase 2 ya SRG huko Dodoma?, alisema" Reli hii tunajenga wenyewe kwa pesa yetu, haijawahi kutokea hapa Africa, wengine wamejaribu lakini wameishia kujenga reli ya hovyo sana, tena kwa mkopo".

Bila shaka alikua akimaanisha Ethiopia, endeleeni kuweweseka na Bomba la Uganda, hiyo imeshatoka, kama ni msiba ni bora mkamaliza matanga na mrudi kuchapa kazi, mtaendelea kulalamika hadi lini?, there is life after this, please accept and move on.

Mwanaume mzima, tena rais wa taifa kupenda kujihusisha katika kurushiana vijembe hivi haifai...
 
Umesikia leo uncle Magu alivyowapiga kijembe katika hutuba yake ya kuweka jiwe la msingi phase 2 ya SRG huko Dodoma?, alisema" Reli hii tunajenga wenyewe kwa pesa yetu, haijawahi kutokea hapa Africa, wengine wamejaribu lakini wameishia kujenga reli ya hovyo sana, tena kwa mkopo".

Bila shaka alikua akimaanisha Ethiopia, endeleeni kuweweseka na Bomba la Uganda, hiyo imeshatoka, kama ni msiba ni bora mkamaliza matanga na mrudi kuchapa kazi, mtaendelea kulalamika hadi lini?, there is life after this, please accept and move on.
Hahahaaa salam za Kenyatta hizi natumai zitamfikia tu
 
Magufuli is renovating central n Tanga-Arusha narrow gauges while Tanga port is being expanded to make sure no interruptions are there during construction as far as mobilization is concerned. Unlike fools in the North building port but no all weather infrastructure to the site the pipeline is to be constructed. Keep making noises..If i were u i would be worried of the manouvres magufuli is making on trying to bring the SGR to the Lake victoria area before Kenya as that could be a determinant factor for Uganda's SGR.
 
Hahahaaa salam za Kenyatta hizi natumai zitamfikia tu
Hahaa, zishamfikia salamu toka Kenya. Hata sasa anaweweseka. Si umesikia katangaza "ajira" 10,000 kwenye bomba la mafuta? Poor man! Ajira hazipo, na wajinga watajazana kuomba hizo ajira hewa! Chezea kick ya pikipiki kwenye tren weye!!!!
 
Go where you belong.
 
Back
Top Bottom