Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

Tanzania ni kubwa sana sio kila mtu anamawasiliano sasa ulitaka watu wasifanye kazi kuna watu wanamind own business hawataki shida na mtu arifu litashtusha lakini pia silazma limgise kila mtu and vise versa ........ Ni mtazamo tu!!
 
Athari za mwendazake ndo hizi, na kama mwendazake amgetawala nchi miaka aliyotaka wengi wangeuawa na kudhalilishawa vibaya mno... kina makonda na huyo gaidi mwenzake Sabaya wangefanya watakayo dhidi ya binadamu na hakuna wa kuhoji.

Sirro sijui bado anafanya nini ofisini muda huu... kazi ilishamshida muda tu.
 
CCM na mfumo wao wa elimu ndio walozi wa nchi hii
 
Uingereza hawana ubinafsi kwao suala la mtu mmoja linawikilisha wote na linashughulikiwa na wote kwa nguvu moja.

Tanzania labda ni ukosefu wetu wa elimu katika sekta nyingi, huwa tunakwenda halafu tunapoteza ufuatiliaji. UK au USA mtu anaua mwenzake mwaka `1969 kesi inakuwa ni ya baridi tu lakini haifi mpaka iishe, mpaka haki ipatikane.

Tunaongozwa na ubinafsi wa hali ya juu, hata hawa wanaoonekana kana kwamba wanapigania maslahi ya wote nyuma ya pazia wanapigania matumbo yao.
 
Inasikitisha sana !! Mchoma sindano ameharibu career yake kizembe sana !!
 
Huyu bibi hangaya ana tatizo kubwa sana kiuongozi...inabidi aambiwe ukweli.
Vinginevyo ataliangamiza hili taifa kwa uongozi wake wa hovyo.

Hawa watoto badala ya kufanya kilichowapeleka shule, wanatumia muda wao kukaririshwa mambo ya kipuuzi.
Punguza povu linalotokana na chuki mkuu Ngorunde. Birthday ni siku moja tu kesho asubuhi imekwisha, wewe unatoa machungu yako ya moyoni kwa suala la kupita!!.

Utajipatia blood pressure ukiwa mdogo sana pasipo sababu za msingi.
 
tatizo tuko wengi.mil 60 +
 
Sisi tupo enzi za ujima !! Africa ni bara la hovyo kabisa.

Karne ya 21 tunafanya mambo ambayo Ulaya waliyafanya karne ya 13...same!!
 


Wewe mwenyewe leo umeshindia huo huo ugali!!🤣
 
Duh mtihani kweli
 

Watakwambia angalia ugali wako na watoto wako
 
Mungu amefanya yake!
 
Sijawahi kuwa na feelings na ugali sijui kwanini?

Ugali sio chakula ile ni biological weapon wazungu wametugea kutunguza uwezo wa fikra ila sisi bado hatujastukia mchongo kwasababu ubongo tayari ushakua affected na kemikali za ugali

Ugali ni silaha hatari na ya kuogofya na ndio maana jela inatumika kwa wafungwa kama sehemu ya adhabu, kule uzunguni naskia wahalifu wakikamatwa na mamwela halafu wakataka kupata siri kwa hao wahalifu za kujua nani aliyewatuma, wanatumia ugali kuwatesa

Naskia wakiona tu nguna inakuja wanaanza kulia na kutaja siri zote hata kabla hawajalishwa

Naishangaa serikali inavyo jihangaisha kuwapa raia mbolea za ruzuku kuendelea kulima matatizo ambayo yanaendelea kudhuru kizazi hadi kizazi
 
Hakuna kiongozi wa kudai stimulate ubongo, MTKILA hayupo. LISU yupo mbali.
 
Kwa hiyo nyie mliamini kigogo anapigania maslahi yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…