Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

Tushakuwa poisoned na ugali, nguvu hiyo tunaitolea wapi?
Aliyeshindwa analaumu Kila kitu. Utalaumu Ugali, utalaumu mwenge, utalaumu wazungu, utalaumu wanasiasa na utalaumu mpaka baba yako isipokuwa kujilaumu wewe mwenyewe.

Endelea kulaumu
 
Umesahau kilichotokea October 2020? Tunatawaliwa, sio tunajitawala.
 
Umesahau kilichotokea October 2020? Tunatawaliwa, sio tunajitawala.
Kilitokea nini hapo Oktoba 2020?

Au unaongelea kuhusu ule uchafuzi, uliohalalishwa kuwa ndiyo ulikuwa uchaguzi mkuu??
 
Uingereza mpaka kufika hapo wametumia zaidi ya miaka mia mbili tangu ustaarab uanze kabla ya hapo mtu pekee aliyekua akiogopwa ni Papa na mfalme. Na hata wananchi wana elimu, wanajua kipi sahihi kipi sicho.

Sisi tuna miaka mingapi tangu uhuru (ndo ustaarab wetu) jirani yangu kaleta mdada wa kazi ana miaka 18, huyu mdada wa kazi hajui kusoma na kuandika.

Itachukua muda.
 
madhara ya ule uchawi unaopatikana katika lile dubwasha linalotembezwa nchi nzima kila mwaka.
 
tutakapopata akili ndipo tutaanda kuchukua hatua kwa sasa bado akili zetu zimeganda kwanza.
 
Itoshe tu kusema "sisi watanzania ni mapopoma", watatuburuza saana hawa kenge, sababu sisi hatujitambui wala hatuna nia ya dhati kujikomboa toka kwenye udhalimu.
ndo maana tunachagua hata wabunge wa hovyo ambao hata hawana tija kisa ati tutanyimwa maendeleo wakati pesa ni za kwetu halafu tuaambiwa msipomchagua huyu hamtapata maendeleo.maamuzi magumu yanatakiwa.
1.kuifumua katiba
2.2025 tuhakikishe watakaopelekwa bungeni ni watu wanaojitambu na si wale wa kugonga meza hata kwa jambo la kipuuzi.
 
Elimu ya uraia, sisi hapa Tanzania hatufundishwi elimu ya uraia, tofauti yetu na huko majuu si hilo tu hata uchaguaji wa viongozi si wa kishabiki kama wetu, wao huchagua mtu siyo chama.
Elimu ya uraia inafundisha jinsi ya kumjali raia mwenzako hata anapokuwa kwenye shida, ndiyo sababu wanatuletea misaada na hiyo misaada hutoka kwa watu siyo kwa rais au waziri mkuu, huku kwetu anayepokea ndiye husifiwa kwa kutupa misaada!
 
Hili la lini Tena. Mungu wangu.
 
Hamia Uingereza- na kwa matendo yako utakuwa wa kwanza kwenda jela
 
Ukiona hivyo ujue wale wapiga zumari wa CCM Wana maslahi na jambo Hilo kama ilivyotokea kwa Ndugai
 
Hamia Uingereza- na kwa matendo yako utakuwa wa kwanza kwenda jela
Unyonge ni chanzo kikubwa cha udhaifu, mtu anaikataa haki yake ya kikatiba! Wakati utumwa unapigwa marufuku wapo wanyonge walilalamika sana wakidai utumwa ni haki yao!
 
Watanzania ndiyo sisi humu Sasa sijui tunataka watanzania gani hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…