Tumsifuni Yesu kristuView attachment 342181 View attachment 342182 View attachment 342183 View attachment 342184 View attachment 342185 Wale watu wazima wenzagu,enzi hizo hakuna cha "Isidingo The Need" wala sijui Tamthilia za Kifilipino.Ilikuwa ni "mikanda" ya ngumi na ile ya kivita.Vurumai za makomandoo na vita vya Wavietnam na USA.
Huwezi kuongelea "mikanda" ya ngumi bila kumtaja Rambo,Bolo Yang(You are Next) na kina Rambo.Hawa jamaa walitisha sana,lakini leo hii ndio hali yao