Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Rambo yupo sexy pamoja na uzee wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona picha ya van damme, au ni macho yangu?Alijisemea Arnold TIME HAS CHANGED...
Ila Bolo Yang ndio anazeeka Vibaya...
Ila Van Dame naona Bado bado..
Nimeandika tu mkubwa....!!!Sijaona picha ya van damme, au ni macho yangu?
Mi sioni kama van damme ni bado bado.Nimeandika tu mkubwa....!!!
siwezi pata ya actor wangu bora shahrukh khan, maana kipindi kile anaigiza kuch kuch mabinti walikuwa wanalilia kuigiza naye hata bure, doh! kweli wakati ni ukuta!Mi sioni kama van damme ni bado bado.
Ukorofi huo kutupa presha bure vijana .Rambo yupo sexy pamoja na uzee wake
Mwili ni kipando cha nafsi. Tuutunze mwili wakati uliopo ili ututunze wakati ujao.Umri umeenda...
Arnold -miaka 68
Sylvester-miaka 69
Bolo Yeung-miaka 69
Dolf-Miaka 58
Wamejitahidi kujitunza vizuri miili yao pamoja na umri kwenda...
damme madawa ya kulevya nayo yamemzeesha sanaMi sioni kama van damme ni bado bado.
Jamaa noma bado ana piga mzigo km kawaDolph Lundgren.