WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

Mzee ni kijana wa zamani na kijana wa leo ndio mzee wa kesho.....!! hao wasingekua na hela na mazoezi sasa hiv wangekua wamechoka zaid ya hapo.tafuta hela kijana kwa nguvu zote ili zikutunze uzeeni.usisahau mazoezi kwa sana maana visukuari vinashida sana siku hizi.
 
Umri umeenda...

Arnold -miaka 68
Sylvester-miaka 69
Bolo Yeung-miaka 69
Dolf-Miaka 58

Wamejitahidi kujitunza vizuri miili yao pamoja na umri kwenda...
 
Mi sioni kama van damme ni bado bado.
siwezi pata ya actor wangu bora shahrukh khan, maana kipindi kile anaigiza kuch kuch mabinti walikuwa wanalilia kuigiza naye hata bure, doh! kweli wakati ni ukuta!
 
Reactions: MC7
Huyo Rambo, kuna picha moja linaitwa RAMBO 4! Utafikiri ndio anaanza kucheza movie... noumer noumer ..

Hatariiii kwenye hilo movie
 
Umri umeenda...

Arnold -miaka 68
Sylvester-miaka 69
Bolo Yeung-miaka 69
Dolf-Miaka 58

Wamejitahidi kujitunza vizuri miili yao pamoja na umri kwenda...
Mwili ni kipando cha nafsi. Tuutunze mwili wakati uliopo ili ututunze wakati ujao.
Tupate wasaa wa kuwatafakari na kuwachunguza hawa vijana wa wamani 'life style' yao ilikuwaje hadi wako hivi walivyo leo?!!!
 
Dah maisha yanaenda speed sana ,huwa nawaangalia wazazi wangu juzi tu ni ma janki leo ndio uzee huo na mimi naelekea huko
 
Umenikumbusha Bolo Yeung, movie aliyocheza na Van Damme inaitwa 'Blood Sport". Nimeangalia tena juzi, wala sikuchoka kuiangalia. Kweli kila zama na kitabu chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…