WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

R.i.p Kanali Mstaafu Derick Lufufu Mkandala Bila Wewe Picha Zote Walizo zitaja Wadau Hapo Juu Zisinge Noga...Bila Wewe Nani Angejua Kuwa:
a)Mguu wa Kuku-bastola
b)Mwani=risasi(mwani ni buni kwa kihaya)
c)mgele=mtama
d)marwa=pombe
e)mbaliga=matege
f)kukimbia kimbaliga mbaliga uku mbaliga zikiangalia kisogo=kukimbia haraka uku miguu ikugusa kisogo
g)nyumanju=nyuma ya nyumba
i)viazi=mabomu ya kurushwa na mikoo
j)
ahahaha,lufufu alikuwa noma!
Mungu Ampe Maisha Nikutane Mbinguni Hili Tuendelee Kutasfiri Muvi!
 
Hivi hizi movie zilizotafsiliwa zimeanza lini kwani maana mimi nimeanza kuzifahamu kama 2009 baada ya kuona watoto wananunua sana....
 
Hivi hizi movie zilizotafsiliwa zimeanza lini kwani maana mimi nimeanza kuzifahamu kama 2009 baada ya kuona watoto wananunua sana....
mkuu,mie nimeanza kuzicheki pale tandale chama tangu the late 90s kwenda 2000s!halafu tunacheki mapicha,ikifika mida ya saa tatu usiku linawekwa "pilau" mpaka liamba!
Ni kitambo mkuu,kama umekulia uswazi hivi ni vitu vya kawaida kwa sie tulio kulia uswazi!!
 
Stallone mtumiaji mzuri wa steroids ndo maana bado yuko fiti sana. Alikamatwaga Australia kama sikosei ambapo haziruhusiwi kabisa, ila US unapata kutoka kwa daktari kabisa.
 
Unashangaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hakuna cha ajabu
 
Basi sisi tulikuwa tunaangalia zile Orginal kuanzia Rangi, Sauti ni HQ japo tulikuwa hatujui kinachoongelewa....!!
 
Basi sisi tulikuwa tunaangalia zile Orginal kuanzia Rangi, Sauti ni HQ japo tulikuwa hatujui kinachoongelewa....!!
mkuu,ulikosa uhondo!itafute picha inaita "Eastern Condors" Iliyafsiliwa na Lufufu Mkandala Uone Mapigo Yanavyo pigwa!
Mkuu ulikuliwa upi utotoni?
 
We jamaa acha jana nmeangalia picha ya mzee wangu akiwa job mchoz ukanitoka na ni kama kuipiga juz tu but he has gone old cjui mwenyewe akiiona atajisikiaje
Japo ndo ivo we live once
Yaani mkuu tunakua halafu tunasahau na wazazi wetu wanazeeka pia ,utakuta mtu yuko busy na maisha anasahau hata kutenga muda kukaa nao ,dah ndio maisha lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…