WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

mkuu,ulikosa uhondo!itafute picha inaita "Eastern Condors" Iliyafsiliwa na Lufufu Mkandala Uone Mapigo Yanavyo pigwa!
Mkuu ulikuliwa upi utotoni?
Hakuna movie ninayoipenda kama hiyo na mpaka leo huwa nairudia kuangalia...
 
Yaani mkuu tunakua halafu tunasahau na wazazi wetu wanazeeka pia ,utakuta mtu yuko busy na maisha anasahau hata kutenga muda kukaa nao ,dah ndio maisha lakini
Ndo ivo mkuu mishe za maisha ukikaa mwaka bla kumuona mzazi wako sku ukimuona utachoka so sad bnadam aliezaliwa na mwanamke cku zake c nying za kuish ktk uso wa dunia cha muhim tuwatendee wema at moment zei still alive ili tusiwe na den
 
Ndo ivo mkuu mishe za maisha ukikaa mwaka bla kumuona mzazi wako sku ukimuona utachoka so sad bnadam aliezaliwa na mwanamke cku zake c nying za kuish ktk uso wa dunia cha muhim tuwatendee wema at moment zei still alive ili tusiwe na den
You said it all Mkuu kwa hakika siku zetu ni chache sana ,tuwalipe tu kwa wema wetu kwao
 
Mcheck huyu mama, Cynthia Rothock.

Ya kwanza ni enzi hizo, na ya pili ni alivyo sasa.
 

Attachments

  • images-3.jpeg
    7.5 KB · Views: 136
  • cynthia-rothrock-picture-id76380159.jpeg
    48.7 KB · Views: 158
Bill Blanks, huyu ana Kituo cha mafunzo ya kuweka mwili fit.

Kituo chake kinaitwa TaeBo.
King of the KickBoxer.
 

Attachments

  • images-4.jpeg
    7.8 KB · Views: 124
  • images-5.jpeg
    8.3 KB · Views: 97
Siku hizi hakuna movie za kibabe. Ni makompyuta tu meengi na upuuzi wa aina hiyo. Eti starring mkali wa kukimbiza gari na pikipiki! Zamani starring ni mkono kwenda mbele lazima awe mtu wa martial arts, mbavu nene, na mkatili fulani hv. Ndio maana enzi hizo akitoa Rambo wote mnaitafuta, akitoa Damme, Arnold ni gumzo mtaani.
 
Frank Zagarino.

Fallout, (1999).
 

Attachments

  • without-mercy-1995.jpg
    23.7 KB · Views: 121
  • frank-in-florida.jpg
    12.7 KB · Views: 107
Hivi siku hizi kuna movie za kivita kweli kama zile za enzi zetu...Unakuta pale Eastern Condours pale Missing in Action, Delta Force, America Ninja, Fifty Fifty, President Man...
 
Kweli wababe wamechoka, mcheck Richard Norton.

Norton ana mkanda mweusi wa Martial Art, kwa sasa ana Chuo anafundisha Martial Art.

Under the Gun, (1995).
 

Attachments

  • images-6.jpeg
    2 KB · Views: 116
  • images-7.jpeg
    4.8 KB · Views: 102
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…