WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

Hivi siku hizi kuna movie za kivita kweli kama zile za enzi zetu...Unakuta pale Eastern Condours pale Missing in Action, Delta Force, America Ninja, Fifty Fifty, President Man...
Acha yani acha kabisa hizo movie
Nakumbuka nilikua natoroka shule ili niziangalie

Let it flow
 
Kweli wakati ukuta,enzi hizo niingie "bandani" ktk listi haipo muvi hata 1 ya huyu jamaa siingii.
images
images

images
images
View attachment 342235
images
hahahahaha daaaa hakika
 
hahahahaha Borro young kuna kipindi nilimchukia kabisa jamaa alikuwa katili sana,....mtaalam wa kunyonga...
 
View attachment 342181 View attachment 342182 View attachment 342183 View attachment 342184 View attachment 342185

Wale watu wazima wenzagu, enzi hizo hakuna cha "Isidingo The Need" wala sijui Tamthilia za Kifilipino. Ilikuwa ni "mikanda" ya ngumi na ile ya kivita. Vurumai za makomandoo na vita vya Wavietnam na USA.

Huwezi kuongelea "mikanda" ya ngumi bila kumtaja Rambo, Bolo Yang(You are Next) na kina Rambo. Hawa jamaa walitisha sana,l akini leo hii ndio hali yao.
Bolo Young, Rambo na Dolf Lundgreen hawajabadilika sana.
 
Back
Top Bottom